Ukijua thamani ya mke wako utampenda na kumjali, na pia utakuwa muwazi kwake juu ya hisia zako.. kuna kupenda bila kujua thamani yake na ilo ndio tatizo.
Kaa nae chini hongea nae maana maisha ya sasa hatari, unaweza kukuta anadaiwa hajarejesha hata mikopo wewe kaa nae chini hongea nae, sio bure anamatatizo na wala usimfikirie vibaya.
Kila kitu ni kizuri sana, ila chamsingi wewe fanya vizuri utaona uzuri wake, japo uzuri wake utakuja sio kwa wakati. Kwa mfano huwezi kuwa mchafu wa dhambi Eti ukampata mke mzuri au mume. Jinsi ulivyo unawakilishwa na matendo yanayo kukuta au unayopitia. Kuwa na hofu ya mungu hutashindwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.