Recent content by Kizamani

  1. Kizamani

    vodacom na afande kova

    Yuko sahihi, anawashauri wafanyibiashara waache kutembea na mabulungutu na Vodacom wana hiyo facility. Ulitaka aseme tigo wakati hawana!
  2. Kizamani

    Sijui nitatokaje hapa

    Jamani njoo huku na mimi natafuta. I will be there 4 u.
  3. Kizamani

    Natafuta frem ya biashara: Dau 300,000/=

    Haha, tandale tena jamani?
  4. Kizamani

    Natafuta frem ya biashara: Dau 300,000/=

    Zion, ni sehemu ambayo mtu anaweza fungua stationary, au butique au duka la vipodozi au mambo ya M-pesa au nguo za watoto au bucha la kisasa au duka la jumla. Full mangism.
  5. Kizamani

    Natafuta frem ya biashara: Dau 300,000/=

    Rubada ni pale ilipokuwa Open ya zamani? Pale ntapata wateja kweli dada anayefurahia? Au nikuPM unipe hints kidogo
  6. Kizamani

    Natafuta frem ya biashara: Dau 300,000/=

    Habari wanaJF nawapenda sana. Tukiwa kama watu tunaosaidiana katika mawazo mengi ya kujengana, mimi mdogo wenu na wengine kaka yenu nina ombi kwenu, natafuta framu ya biashara ambayo nitaweza kupata vijisenti vya kumtunza dada yenu Lara1 kwani karibu nampata. Sehemu ambayo ningefurahi sana kama...
  7. Kizamani

    Ni Hotel/decent guset house gani nzuri pemba?

    Hapana yakhe naenda kikazi tu
  8. Kizamani

    Ni Hotel/decent guset house gani nzuri pemba?

    Nashukuru sana kwa maoni, naenda town kabisa, sijajua ni wete au, ila nataka iliyo karibu na airport. Nitaangalia hizo mlizotaja.
  9. Kizamani

    wana jf naomba mnisaidie hela ya kwenda hospital

    Ama kweli umenichekesha. Ehe, utumiweje hiyo hela sasa?
  10. Kizamani

    wana jf naomba mnisaidie hela ya kwenda hospital

    Huyu jamani sio yule trafic feki wa tabata kinyerezi kweli?
  11. Kizamani

    Ngono tam acheni maskhara

    Nataka niingie kwenye vitabu vya kumbukumbu. Kwa nini tu wazungu ndo wanaingia, nimejitolea kuwawakilisha.
  12. Kizamani

    Ngono tam acheni maskhara

    Jamani mimi ni kijana na nina miaka 30 na sijawahi fanya hiki kitu.
  13. Kizamani

    Kuwa single kwa muda mrefu simetimes ni majanga....

    Achague tu kama watatu kati ya hao wenye watu awe tu rafiki yao kwa dhati kabisa. Ipo siku mmoja atachoshwa huko atakuja spidi. Mimi ilishanitokea.
  14. Kizamani

    Namna ya kuwa mwizi bila ya kukamatwa

    Sasa unataka kuifundisha nini jamii? Kama umeamua kuwa ajenti wa shetani na uwe mwenyewe watudanganyi. Umesahau mhubiri anasema nini kuhusu 'ni heri kunywa maji kwenye kisima chako peke yako kuliko kunywa na wageni'.
  15. Kizamani

    Kwa heri wasomaji wangu mie nimeamua kujinyonga

    Tunakutakia buriani njema. Nimewaarifu ubalozi wa Marekani wakaahidi kuleta mbwa ili anuse maiti yako na athibitishe kama umekufa.Tafadhali oga kabisa kabla ya kujinyonga ili asipige chafya.
Back
Top Bottom