Recent content by Kivumah

  1. Kivumah

    JamiiForums Tanzania Tribute to Sanctus Mtsimbe: Sio tu ni smart kwa mavazi na muonekano, pia ni smart kwa mawazo, maneno, na matendo, na very smart upstairs!

    Pumzika kwa Amani Sanctus Mtsimbe, indeed alikuwa very smart kichwani, nilikuwa nikiona andiko lake nakimbia kuangalia kaandika nini
  2. Kivumah

    JamiiForums Tanzania Tribute to Mwana JF Mwenzetu William Malecela Le Mutuz, Alikuwa Mtu wa Watu

    Pumzika kwa Amani Field Marshall ES
  3. Kivumah

    JamiiForums Tanzania William Malecela Toka BCS - Jambo hadi JamiiForums

    Pumzika kwa Amani Field Marshall EM
  4. Kivumah

    JamiiForums Tanzania Mention someone without any reason just to disturb them

    Kivumah
  5. Kivumah

    JamiiForums Tanzania Unajisikiajie Maxence Melo anapo like "post" yako

    Maxence Melo ....MUBYAZI njoo bana unaitwa huku
  6. Kivumah

    JamiiForums Tanzania Unajisikiajie Maxence Melo anapo like "post" yako

    Maxence Melo Njoo "ulaiki" post
  7. Kivumah

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa wasifu wa Dkt. Wilson Mahera, Mkurugenzi mpya wa Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC)

    Kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Arusha, alikuwa ni Mwalimu wa Hesabu UDSM, ni mtendaji na mfatiliaji. Kwa uongozi wake, alifanikisha Shule ya Sekondari ya kata inayoitwa MWANDET iliyopo Arusha kuingia katika Top Ten ya Shule zilizofanya vizuri matokeo ya kidato cha...
  8. Kivumah

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Steven Mdoe aka Dj Steve B anaumwa sana

    aliemleta Stevie B pale Clouds FM (CMG), ni Ruge Mutahaba, kipindi hicho jamaa yupo East Africa Redio, kipindi cha The Cruz. Ruge aliwahi ulizwa ni Dj gani anaemkubali ambae hayupo Cloud, akamtaje Stevie B, from there Steve akaja Clouds, kipindi hicho kufanya kazi Clouds ni ujiko mjini Ndie Dj...
  9. Kivumah

    JamiiForums Tanzania Nini/taratibu gani za kufuata ili kuwa Wakala wa Bima?

    Swali: Nawezaje kuwa Wakala wa shughuli za kutoa huduma za Bima, hasa Bima za magari Mwenye ufahamu tupe shule tafadhali
  10. Kivumah

    JamiiForums Tanzania Kuchangamkia fursa: WaTZ tuna matatizo!. Pongezi Rais Magufuli kuwa M/Kiti SADC, usiposaidia WaTZ kuchangamkia fursa, tutaishia kuwa watazamaji tu!.

    Waganda wanaagiza Nguo kutoka China, mzigo unapitia katika Bandari yetu ya Dsm, unapelekwa Uganda, then sisi Watanzania tunasafiri kwenda Kampala kununua Nguo zilizopitishwa katika bandari yetu. Kwanini sisi hatuagizi nguo kutoka China. HATUJACHANGAMKA Nimeguswa
  11. Kivumah

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere adai kuingiza zaidi ya Tsh milioni 220 kwa kuuza vitabu Amazon

    Hongera sana kamanda Yericko Nyerere Ikikupendeza changia sehemu ya mapato hayo kwa ajili ya uendeshaji wa Jamii Forums
  12. Kivumah

    JamiiForums Tanzania Madaam Poshy, mbunge mtarajiwa atinga mjengoni

    Kaenda kuomba Mawigi yasipigwe Kodi
  13. Kivumah

    JamiiForums Tanzania Je, ni nini kitatokea tukiamua kila mkoa ujitegemee kwa mapato yake?

    Hii ilikuwa ni ilani ya CHADEMA endapo ingepewa ridhaa kuongoza Nchi. Kuanzisha Serikali za Majimbo au states, ni mawazo mazuri
  14. Kivumah

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaalika Ikulu Wafanyabiashara wakubwa watano kutoka kila Wilaya

    Nimewaza Juzi alivyoenda South Africa alisafiri na JK na walikaa siti moja, nadhani JK alimpa makavu live na sasa kaona isiwe shida arudishe mpira nyuma aanze upya
Back
Top Bottom