Recent content by kiuno8

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu na Dr Magufuli akaniomba kura

    ni kweli kabisa..pia Luna kikundi cha watu zaidi ya 200 wapo masaki dar hostel za muhimbili..wanachokifanya no 1. Kuwapigia simu watu katika majimbo tofauti na kuwashawishi kumpigia kura CCM 2. Kuwaambia watu mambo yasiyo ya kweli yaan majitaka kuhusu mgombea ubunge wa jimbo husika mf jana...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Fainali za Bongo Star Search (Season 8, 2015)

    Kwa mbali naona kama Frida atapitishwa Mshindi..(style ya magufuri alivyopita )
  3. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa vyombo vya habari kutoka CCM kuhusu matukio ya Tanga

    SIMBILISI WEWE... hebu kaa kule...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Sponsorship in Tanzania

    Sponsor was kitu gani..?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Joining Instruction, Kimamba Secondary School

    tukusaidie nini sasa..?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa inaendelea kunyesha Geita

    poleni poleni poleni
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tuwe na sheria ya kuomba kibali kabla ya mtu kuitisha "Press conference"?

    Katiba inamruhusu kila MTU kuwa na haki ya kujieleza popote pole ili mradi havunji sheria au kuingilia Uhuru wa MTU mwingine... Kwa hiyo hakuna mipaka popote pale
  8. K

    JamiiForums Tanzania Watu wawili wafariki kwenye mkutano wa CCM uwanja wa Jamhuri Morogoro

    Me nipo moro hapa watu ni saba na sio wawili kama wanavyosema...labda hao waliofia hospitali
  9. K

    JamiiForums Tanzania CCM wametushika pabaya

    Kura yangu kwa FISADI Lowasa kwani kuna shida jamani....hao watawapata nyie vifuata upepo ambao mpaka sasa hujaamua kura yako unampa nani
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kufanya mahojiano na Tido Mhando Azam Two kesho Jumapili saa 3 asubuhi

    tatizo wanampatia maswari anajiandaa nayo then anakuja kutujibu...pia atafutwe MTU was pili wa kua wanaulizana papo kwa papo...
Back
Top Bottom