nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
makamba ni ukoo uleule wa kifisadi. je hayo makamba ameyajua leo? mbona makamba huyuhuyu alitumia nafasi yake ya katibu mkuu wa chama kumbeba mtoto wake january bila kuwa na sifa kule bumbuli? ni huyuhuyu mzee makamba watoto wake wanabebwabebwa tu akiwemo na yule binti ? makamba jana alikuwa anatimiza kazi yake ya kumwombea mtoto wake uwaziri na sio kingine. watanzania hatudanganyiki kamwe....