Recent content by KIUNO CHANGU

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia kuhusu uhamisho wa mtoto kutoka shule binafsi kwenda ya umma

    Nafasi yake alipewa mwingine baada ya kutorepoti shule ndugu mzazi Endeleeni kujichanga mtoto amalize elimu yake
  2. K

    JamiiForums Tanzania Suluhu ya uvamizi wa panya shambani ni nini?

    Dawa ni kuanza kufuga nyoka ili wale hao panya kama wazungu walivyo fanya kongwa wakati wanaanzisha schemes za kilimo cha karanga
  3. K

    JamiiForums Tanzania Serikali imeunda Tume maalumu kuchunguza Ufisadi wa Fedha za Uviko kwenye halmashauri zote nchini

    Madarasa yenyewe yana nyufa kama zote
  4. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO wanataka ninunue transformer

    Sana,mimi wamefanya hadi mradi wangu wa kuku kule Boko Mnemela uchelewe kuanza.Waliniambia kama nataka umeme haraka ninunue transfoma wanifungie. Nimeamua tuu kuagiza solar China
  5. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO wanataka ninunue transformer

    Mimi pia niliambiwa hivyo Wilaya ya kibaha,eneo linaitwa Boko Mnemela.Niliambiwa ninunue transfoma ili waniwekee umeme
  6. K

    JamiiForums Tanzania Maisha mapya katika nchi za watu

    Mbona nusunusu sana
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kusafiri na watoto wadogo 1-8 ni kero

    Umenikumbusha mbali Safari za Meatu na Mpwapwa😂😂 Ila serikali ina dhambi Sana,sijui kwanini baadhi ya maeneo imeyasusa
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kuwa na msichana mwenye sehemu za siri fupi?

    Aki nimecheka leo...so punda ndo role modal🤣🤣🤣🤣🤣
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

    Sijui kwa nini nimekuonea huruma😁
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Kundi la G7 lilivotafuna Mademu wa Dar (mpaka sasa hivi wanatafuna) zijue Mbinu zao

    Thanks Lara 1 Umenikumbusha mbali hasa saloon ya Khan!!!Sijui alienda wapi yule dada
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ambulance zetu na wahudumu wa chumba cha mahututi

    Yani wale emergency muhimbili,Mungu anawaona. Tulimpeleka baba mkwe wangu pale tokea amana,damu ilikua 3 tuu,asubuhi tuko pale hakuna huduma yoyote mpk jioni saa 2 ndo tukampigia mtu mkubwa serikali kuomba msaada ndo kumuekea damu,hapo mzee kachoka hajiwezi.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Makinika na matumizi ya kifuu kwenye tiba za kienyeji

    Hahahaaa. Watu na technologia zenu
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend story! BEN 10

    Endelea basi
  14. K

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuwahudumia wageni wako ili wasihamie nyumbani kwako jumla na ukashindwa kuwafukuza

    Dawa ni kuwapa kazi za shamba na bustani
  15. K

    JamiiForums Tanzania Wenye madeni makubwa na hatujui tutayamalizaje tuliwazane hapa

    HELSB mil8+bank mil15+kikoba mil3. Bado naimani na serikali yetu tukufu kuturahisishia maisha
Back
Top Bottom