Recent content by Kiungopunda

  1. Kiungopunda

    JamiiForums Tanzania Sapraiziiii: Yanga yamsajili Selemani Mwalimu siku mbili baada ya kunukuliwa akisema ataichezea Simba Msimu wa 2026/27

    Nakutaja. Nimeiona hii comment mahali. Kama ulivyoiandika kule ndio umeiandika huku. Ushavuliwa ubingwa na mafwele.
  2. Kiungopunda

    JamiiForums Tanzania Sapraiziiii: Yanga yamsajili Selemani Mwalimu siku mbili baada ya kunukuliwa akisema ataichezea Simba Msimu wa 2026/27

    Hii comment nimeuona mahali. Kumbe yule ndio wewe. 🤣🤣🤣 Ngoja nilitume Jina na ID yako kwa Mafwele akufanyizie kazi.
  3. Kiungopunda

    JamiiForums Tanzania Usikubali kumhifadhia mtu usiyemjua begi kabla hujafanya mambo haya nane

    Lilitaka kunitokea jambo huko Ughaibuni kwani wapopo wa Nigeria walitaka kunichomeka.
  4. Kiungopunda

    JamiiForums Tanzania Karibu Kila mtu ana angalau tatizo moja kati ya haya

    Mbona mi sina hata moja hapo bosi? Kiukweli namshukuru Mungu kwa kunipa uzima na afya njema.
  5. Kiungopunda

    JamiiForums Tanzania Artemis ii Capsule, inatarajiwa kutua leo ambapo itashuka kwa kasi kubwa mara 10 zaidi ya kasi ya risasi katika re-entry

    Nyie mnashindania ukubwa wa uume na kupotea kwa nyeti zenu kimazingira. Hongereni sana vijana wa Samia kwa kuwa wanunuzi wa kuvaa PIN zikiwa zimefungwa na rubber band kwa ajili ya kuzuia nyeti zenu zisipotee kimazingira.
  6. Kiungopunda

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

    Shukuru kwa ulionao.
  7. Kiungopunda

    JamiiForums Tanzania Israel inakaribia kuanguka

    Basi sio Mzigua, ni Muajemi wa Lunguya.
  8. Kiungopunda

    JamiiForums Tanzania Israel inakaribia kuanguka

    Wazigua bwana. 😂😂
  9. Kiungopunda

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Hatimaye umeonekana Baba Mwaj.
  10. Kiungopunda

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Amefunga huyo. Muache kwa sasa. Bifu litaendelea baada ya kumaliza mfungo.
  11. Kiungopunda

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi apinga Trump kuishambulia Iran

    Tafsiri tafadhali.
Back
Top Bottom