Recent content by Kiume3000

  1. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Katika umri gani ulifanikisha lengo la kujenga nyumba yako?

    38 na haijaisha
  2. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Watu hawataki kawajibu wateja, nawachukia sana. Bomba linatakiwa liwekwe. Mteja anaingiwallzwa
  3. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Manchester United kutumia mbinu hii kuinasa saini ya Haaland

    Hana uwezO kivile,,ligi zao tu laini laini. Unaona Sancho anavyopotea
  4. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ole ndio anaharibu tu
  5. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupotea Kariakoo? Juzi ilibaki nukta nipige mayowe

    Nilikwenda kufanya manunuzi maduka matano. Kila nilipoingia na kufunga mzigo walinifata wahuni wakikusanya mzigo kwa kisingizio kwamba niliwatuma wauchukue, wale wahuni walinigawana, kila ukiingia unakuta umeingia naye..ukiondoka anatoa maelezo kama wewe anaoewa mzigo. Jioni saa mbili Sina...
  6. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Kuna chanzo kizuri cha mapato, kwanini Serikali imelala? Manispaa na Majiji mifumo ya majitaka inawahusu hii

    Hii mambo inahusu Sana mji kunuka https://www.jamiiforums.com/threads/hivi-hii-harufu-jijini-dar-naisikia-pekeeangu-tuu.1911465/
  7. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Hivi hii harufu ya baadhi ya mitaa ya jijini Dar naisikia peke yangu tu?

    Ssio ferry tu majumbani Hii ipo sana..hii kuishi na vinyesi nyumbn ni mbaya Sana..wkt wa mvua wananchi wanazibua asiyejua hii ni nani
  8. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta arudi tena Ubelgiji, aenda Royal Antwerp

    Sáankwa nn hakumpa... Kiongozi humpa confo mfanyakaz wake...Uniweka nje kila saa unaninyima confidence
  9. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta arudi tena Ubelgiji, aenda Royal Antwerp

    Asante kwa ufahanisho huu. Mbwana Samatta arudi tena Ubelgiji, aenda Royal Antwerp
  10. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Kigoma Great University (KGU)

    Ukiipiga hii utaheshimika ..maana wenye vi certificate tu wanatisha
  11. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Kigoma Great University (KGU)

    Nilicheki movie moja Jana ya witchcraft mbaya mbaya Hawa wazungu haya mambo wanaigiza tuuu au ni kweli.. imenitisha sana
  12. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Kuna chanzo kizuri cha mapato, kwanini Serikali imelala? Manispaa na Majiji mifumo ya majitaka inawahusu hii

    Nilisoma nyuzi JF na nikapost juu ya mradi huu. Ni kitu cha kawaida Sana nchi za wenzetu kujenga mifumo ya maji taka kama ilivyo maji safi yanavyosambazwa huu mradi ni bomba sana. Si lazima maeneo yote. Uswazi kuachwe kama kulivyo lakini maeneo ambayo yana ramani zinazoeleweka au hata squata...
Back
Top Bottom