Recent content by Kiula Mzalendo

  1. Kiula Mzalendo

    Bei ya sukari yapaa tena

    Hii nchi kwa drama si mchezo, hivi wale waliokamatwa na sukari kipindi kile suala hilo liliishia wapi, maana tuliahidiwa kupewa sukari bure kutoka kwa wahujumu uchumi walioficha sukari, lakini sikuona tena lolote likitendeka, tukaahidiwa kuwa bei elekezi ya sukari itakua Sh 1,700/- kwa kilo...
  2. Kiula Mzalendo

    Old Skool Bongo Hip-Hop & R n' B

    Asante sana kwa kushare hizi nyimbo kaka, hizi ndio ngoma sasa sio hizo za leo zinachosha kusikiliza
  3. Kiula Mzalendo

    Harakati za Mwigulu zinavyozidi kumharibia

    Tanzania kwanza siasa baadae, hata kile kikao cha wanairamba kilikua ni cha Iramba kwanza siasa baadae, siasa hazikupewa nafasi, tatizo tu watu wengi wanachuki za kisiasa kuliko kukubaliana na uhalisia, waliohudhuria kile kikao wanajua kilichojadiliwa siku ile ya kikao cha wanairamba waishio...
  4. Kiula Mzalendo

    ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    kweli kabisa, hii inakera sana, unatamani kuliona tangazo moja kwa moja unakutana na link, bundle lenyewe la magumashi, wekeni kitu live and direct
Back
Top Bottom