Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela amesema uamuzi wa CCM kuwateua madiwani waliotoka upinzani kugombea tena nafasi hizo ulikuwa ni moja ya mikakati ya ushindi uliolenga kurejesha kata zilizokuwa upinzani kuwa mikononi mwa chama hicho tawala.
Kauli hiyo ya Kasesela imekuja wakati ambapo...
yaani mlichomfanyia Mange hajaamini kabisa miezi 2.5 anahamasisha maandamano lakini nyie mlivyokuwa wanafiki mkawa mnamusapoti lakini siku ilipowaidia mkajificha
Huna maana niliambiwa wewe ni kibaraka wa ccm nikakataa lakini kumbe ulikuwa kibaraka wa jk na membe.ungekuwa na dhamira ya kweli ya kuwasaidia wananchi maskini usingetumika kisiasa.hayo yote uliyoyaandika hayana maana sababu dhamira ya kuwasaidia watanzania hauna.mwaka 2015 ukiwa katika uwanja...
walikuwa wanatafuta kiki kwa kuvunja sheria, na kama wangeachiwa wangejitapa kuwa serikali inawaogopa na sasa wanashighuriwa wanaanza kulalama na wanachama wao wameshawastukia kuwa ni 'wasanii' na ndio maana wameamua kukaa kimya.
JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA TANZANIA
OFISI YA TAIFA
SLP 15729, DAR ES SALAAM, TANZANIA
Mobile no +255 784256592, +255 655535051.
Uongozi wa Taifa, Mikoa, Wilaya...
Mataifa ya magharibi wametunyonya sana na hawataki watuone tunasonga mbele kutoka katika utegemezi ndiyo maana wanatuletea masharti ya kipumbavu katika mikopo yao.Mara kuunga mkono ushoga,mara wasichana wakijifungua waendelee na masomo. Safi sana china
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.