Recent content by kityentyee

  1. kityentyee

    JamiiForums Tanzania Karim Mandonga Mtu Kazi azawadiwa gari

    Tena Domo la mamba daadeekiii [emoji1787][emoji1787]
  2. kityentyee

    JamiiForums Tanzania Vibarua kiwanda cha Bakhresa Buguruni

    Itoshe kusema tu kwamba kupitia huu uzi nimejifunza kwamba nisiidharau kazi yangu ya Bodaboda maana nina degree yangu hapa inanifanya niidharau hii kazi ya Boda naona kama sistahili kuifanya kumbe kuna watu wanapigika kinoma tena kwa malipo madogo sana kwa siku nzima wakati mie kwenye boda...
  3. kityentyee

    JamiiForums Tanzania Inashangaza sana, mtu unaishi Dar es Salaam huna gari!

    Mkuu tupo tofauti kidogo, linapokuja suala la usafiri wa uhakika kwa hapa Dar es Salaam kwa upande wangu PIKIPIKI is the best option japokuwa ina risk kubwa. Binafsi usafiri wa gari iwe daladala au hata private car kwangu mie huwa naona kama nachelewa sana. Foleni za Dar zinaboa sana especially...
  4. kityentyee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama hukumkuta BIKRA jua ni mke wa mtu, achana nae tafuta wako

    Bikira wapo tena wengi tu mkuu sema ukweli mchungu ni kwamba mwenyezi Mungu amewaficha mabinti wasafi dhidi ya wanaume mafisi kwaajili ya wanaume wasafi, You won't find beauty in a virgin/smart lady until you are smart too, hiyo ndiyo hekma kubwa mwenyezi Mungu ameificha hapo. Kwa sisi waislamu...
  5. kityentyee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama hukumkuta BIKRA jua ni mke wa mtu, achana nae tafuta wako

    Niseme tu ukweli,,Mtoa mada upo sahihi 100%, mwanamke yoyote ukimuoa or ukidate naye pasi na kumkuta na bikra kiukweli huwa kuna thamani flani anakua keshapoteza kwenye moyo wa mwanaume yoyote sema ni vile tu huwa tunakaza mafuvu na kujifanya kuleta theories za kujifariji mara oohh sijui...
  6. kityentyee

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Oyaa hizi pisii mnazikumbuka
  7. kityentyee

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sura ya YESU matendo ya shetani, akina Mbaji, soud, Yassin, Nshimba, Caessar halafu kuna yule afande KATUNZI alikua na matusi kichizi yaani domo lake halijawahi vaa chupi[emoji1787][emoji1787]
  8. kityentyee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Oyaaa we jamaa ni fala [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
  9. kityentyee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanapenda sana harusi kuliko ndoa yenyewe!

    Nakaziaa hii point,,,naomba mjadala ufungwe sasa
  10. kityentyee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo ni hiki kizazi cha sasa au kuna sehemu wanaume tunakosea?

    not only love mkuu,,yaani chochote tu usichokipania kukifanya or kukiwaza sana basi lazima kitakufuata chenyewe automatically
  11. kityentyee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya uchumba wa muda mrefu kupita kiasi

    Vile navykenzo ( Aika & nahreel ) wanavyoutizama huu Uzi [emoji1787][emoji1787]
  12. kityentyee

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata ajira & connection kwa kijana yeyote mpambanaji

    Ofcourse suala la kimo huwa linazingatiwa sana hasa GARDA WORLD,,ila kama ana cheti cha JKT cha mujibu wa sheria pia kinaweza kumbeba,,halafu siyo kampuni zote zinazozingatia kimo mkuu, kikubwa yeye ajichanganye tu hawezi akakosa kambi
  13. kityentyee

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata ajira & connection kwa kijana yeyote mpambanaji

    Habari zenu wakuu, Leo napenda kushare jambo hili adhiim kwenu vijana wote watafutaji mliokata tamaa ya kupata michongo, ajira, au connection. Kulingana na soko la ajira kwa sasa kuwa gumu, kiasi kwamba imekua nadra sana mtoto wa msaka tonge anayemaliza chuo, taaluma au fani fulani kujikuta...
  14. kityentyee

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini kijana asiye na ajira ambaye yupo tu mtaani?

    Mkuu huyo kijana mwambie aende akaombe kazi kwenye makampuni ya ulinzi makubwa mfano G4S au GARDA WORLD. Mara nyingi kwa kijana ambaye hana connection, hizi kazi za ulinzi huweza kumexpose kijana au kumuweka kwenye platforms flani ambazo ni rahisi yeye kuonekana / kuonana na watu wengi wazito...
  15. kityentyee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachana na mke wangu

    [emoji23][emoji23][emoji23] Oyaa hii nchi watu wamevurugwa [emoji119][emoji119]
Back
Top Bottom