Recent content by Kitunga JP

  1. Kitunga JP

    Hali ya mapato ya serikali yashuka, serikali haina pesa wananchi tujifunge mikanda

    I didn't know Tanzania we have such a big number of economics!! Kwa kupewa story na jamaa yako wa BoT for a few minutes tayari unaweta kusemea nchi kwamba tunakwenda kubaya!! n look at the number of the people comenting on the issue!!! Mungu atunusuru
  2. Kitunga JP

    Nyeti toka Lumumba: CCM rasmi sasa mfukoni mwa mwenyekiti wake. Asiyemkubali kukiona 2020

    Kama ni kweli CCM inaongozwa na kichwa kimoja sijui hivi vyama vingine inakuaje... Nawaza kwa sauti tu..
  3. Kitunga JP

    Kwa mara nyingine tena, hapa ndipo anapokosea Rais Magufuli

    Mtoa mada unaweza ukwa na point, ila unapotupa lawama zote kwa CCM nadhani unakosea, na nadhani hata wewe mwenyewe unajiponga kwamba si CCM wote wenye nia mbaya na nchi yetu unaposema RASUMU ya Warioba iendelezwe kua katiba ya nchi, wakati Warioba ni CCM kufa. Hapa lamsingi, ni kubadili katiba...
  4. Kitunga JP

    SGR-Tanzania US$187m/300km V/S SGR-Kenya US$3800m/609km, tumelamba dume

    U ngeonyesha wewe hiyo source ya mkopo ungerahisisha zaidi.
  5. Kitunga JP

    Napenda kuifahamu Tanganyika Law Society(TLS)

    Hongera Lissu kwa ushindi mnono, I wish TLS ingekua na uwezo wa kufanya mabadiliko kwenye katiba ya TZ.
  6. Kitunga JP

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    I LUV MY COUNTRY.. Mengi kati ya haya uliyoyasema naona kama unapotosha jamii, kwa kutolea mfano wa machache tu, unaposema nchi inaongozwa bila kua na muelekeo na jamaa wanapiga kelee kila siku wanafwata ilani yao ya uchaguzi unakua unadhani wanamaanisha nini!!? Maelezo wanayo yatoa ya kuhusu...
  7. Kitunga JP

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Kuuza vocha sio ajira!!? THINK BIG
  8. Kitunga JP

    Hali ya uchumi nchini: CAG alia na ukata

    Kama nimeelewa vizuri andiko, naona kama CAG analalamikia hela ya maendeleo tu ya ofc yake, kwasababu kama waliomba 18b na kati ya hizo 8b ni zamaendeleo, ili afanye kazi zake kwa ufanisi anahitaji 10b ambapo anasema mwezi mmoja baada ya badget alipewa 2b then 5b, na mwisho 4b ambazo zinafanya...
  9. Kitunga JP

    Kuna mtu anaiua CCM kwa speed ya rocket

    Unaweza kua sahihi kwamba CCM inakufa, ila kumjua anaeiua wakati chama kina taratibuzake imejiwekea, ikiwemo kuongoza nchi kwa Ilani yao ya uchaguzi, ambayo inavigezo vya kupima utekelezaji wake, sioni jinsi ambavyo zigo la kikiua chama atabebeshwa mtu mmoja. Kuna vikao ambavyo vinamaweza kupima...
  10. Kitunga JP

    Bajeti 2016/2017 imebakiza miezi mitatu muda wake uishe,je imeleta mabadiliko huko kwenu?

    Uzi unaswali la msingi sana, ila wengi wetu tunajibu mzaha kama tulivyozoea.. nashauritujibu swali na kama hakuna ulichokiona basi toa palipo haribika. Mi nashukuru kwamba tayari tuna "wings of Kilimanjaro, reli mpaka Moro nasikia inaaza, makutano ya Tazara yanaboreshwa, Njia za umeme...
  11. Kitunga JP

    Mjue mshauri wa Rais Magufuli anayedumaza uchumi

    Mtoa mada ungelinda andiko lako kwa data za kitafiti ungesaidia sana kwa wale ambao bado hatuamini kama uchumi unadidimia. Tafiti nyingi zinazotolea na taasisi mbali mbali zinaonyesha uchumi unafanya vizuri.. uchumi unapokua kwa 7% ni kitu chakujivunia, na kama hii kwako ni kuporomoka tuwekee...
  12. Kitunga JP

    Ndege mpya za serikali ziko njiani kuja

    Umeona jina lako lakini unalolitumia hapa?
  13. Kitunga JP

    Dr. Kafumu: Tuliahidi kumpa Dangote ardhi, gesi, makaa ya mawe, limestone kwa bei nafuu

    I like this.. lazima twende na figures halafu tuangalie fairness ktk soko..
  14. Kitunga JP

    Magufuli ameonyesha Urais si kazi ya kila mtu

    Raisi kama kiongozi mwingine yoyote yule lazima awe na sifa zinazokubalika na watu au kundi analoliongoza, na kufwata taratibu walizojiwekea kama ambavyo taifa la TZ na katiba yake japo ina viraka vingi. Viongozi wote tangu JKN ambaye pia aliwahi kukiri 'ikulu ni mzigo' wote walikua na mapungufu...
Back
Top Bottom