Recent content by Kitumbo

 1. Kitumbo

  International Terrorism: Jifunze kuhusiana na kundi la magaidi wa kimataifa linalojinasibisha kwa jina la "Dola la kiislamu" (Islamic State)

  Soma na hii... Mtendaji wa zamani wa CIA: "Kiongozi wa ISIS Abu Bakr Al Baghdadi Alifundishwa na Mossad wa Israeli" Na Anas Chihab - Julai 17, 2014 NSA wa zamani na wakala wa CIA Edward Snowden amebainisha kuwa kiongozi wa Kundi la Kigaidi la Iraq na Syria (ISIS) Abu Bakr Al Baghdadi...
 2. Kitumbo

  Gari la Mbunge wa Kibiti lakamatwa likisafirisha magendo

  "Mbunge wa CCM akamatwa" = UONGO aliekamatwa ni dereva ila Lori ndo la Mbunge "Akipeperusha Bendera ya Mbunge " = UONGO ukweli wake lilikuwa Lori wala sio gari ya Mbunge Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Kitumbo

  Ujenzi wa "Mfumo Magufuli", hatari na janga kwa taifa kuliko Rais Magufuli mwenyewe

  Mimi pia nimeliona hili. Yaani kwake yeye hakuna hata mmoja mwenye jema! Kila zama kwake ni mbaya? Basi labda ije ghalka ndio labda nafsi yake inaweza ridhika. Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Kitumbo

  Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

  Imenifikirisha sana hii ya "KAMA MUNGU HAKUWARIDHISHA, JE SISI WANAUME NDIO TUTAWARIDHISHA?" Kumbe ndio maana minywele bandia, rangi bandia, boots bandia na hata akili siku hizi wengi wanazipata salon!
 5. Kitumbo

  Protokali: Ni makosa Mkuu wa Wilaya kukaimu nafasi ya Mkuu wa Mkoa!

  Hata kwa kutuambia tu, waraka namba gani wa mwaka gani tutautafuta tufanye reference. Kwasababu kama ni kosa basi limefanywa kitambo kiasi kwamba imeonekana kama ndio utaratibu. Inawezekana waraka umesahaulika na hili swala la kushindikana kuwa public ndio hata huko kwenye maofisi hawauoni...
 6. Kitumbo

  Protokali: Ni makosa Mkuu wa Wilaya kukaimu nafasi ya Mkuu wa Mkoa!

  Hapa mtoa hoja tungekuwa pamoja kama ungetupa na vifungu vya kanuni. Hivi ilivyokaa imekaa kimtazamo wako, inawezekana pia kuwa wewe ndio umekosea
 7. Kitumbo

  Narudi tena kuitafuta ndoto yangu ya Kuwa Lecturer -University

  Natamani nipate fursa ya kujifunza kutoka kwa waonesha njia kama wewe. Ni graduate wa finance, nafanya kazi za kutumwa hapa na pale, sina experience, sina financial resources. Nina ideas nyingi na nimewahi ku-team up with people with capital lakini tumeachana njiani. Kindly niongoze nawezaje...
 8. Kitumbo

  Waganga feki wahaha kutafuta wateja kwa nguvu

  Huyu alinitumia Mimi pia, aliniambia yupo Sumbawanga Na alijifanya anamtumia ujumbe mteja wake ila ulikuja kwangu kwa bahati mbaya.
 9. Kitumbo

  Tabia ya kuegemea magari ya watu

  Umeelewa hoja kweli?
 10. Kitumbo

  Obama atangaza hali ya hatari jimbo la florida

  Hapana, mawazo yako si sahihi, fikiri zaidi na ikibidi jifunze uielewe dunia
 11. Kitumbo

  Jifunze matamshi sahihi ya maneno haya ya Kiingereza! Yanakosewa sana!

  Wachekeshaji huwa hamkosekani popote pale... ona huyu!
 12. Kitumbo

  Tetemeko dogo la Ardhi(aftershock) latikisa tena Bukoba usiku Sept 11, 2016

  Hii hali inaitwa "afterquake". mara nyingi inakuwa na magnitude kidogo kuliko tetemeko lenyewe lakini mara nyingi huwa na madhara makubwa kama hakuna tahadhali. hii hutokana na kwamba nyumba zilizoathirika na tetemeko hubaki na ufa ama ubovu usioonekana waziwazi sasa afterquake inapotokea...
 13. Kitumbo

  Julius Mtatiro na uchambuzi wake kwa Lowassa

  Dah, huu uzi raha sana kuurudia rudia halaf unawasikiliza wapambanaji wetu leo wanaongea nini!!!!!!!!!
 14. Kitumbo

  Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

  Kubari tu kuwa umewaza tenge, sio mawazo sahihi...hebu fikiria umebadili katiba na Magu akaongoza na kufia katika uongozi, mwingine akachukua madaraka na akawa si miongoni mwa wale unaowapenda je, utapendekeza teza tuweke ukomo wa madaraka?
Top Bottom