Dc.com
Member
- Nov 28, 2015
- 88
- 51
Habari wapendwa! Mimi ni nimemaliza 2012 BAF: GPA 4.3. Ndoto yangu ni kuwa mwalimu wa chuo kikuu. Napenda sana kufundisha n.a. ni kazi ninayoamini ufanisi wangu ni mkubwa.
Mwaka huu nalenga nianze mitihani ya cpa maana awali sikuweza kwa sababu ya kukosa uwezo.
Ipo kazi ninayoifanya ya kunipatia walau kipato lkn haiendani n.a. elimu yangu ya BAF. . Pia haiwezi nifikisha kutimiza ndoto zangu.
Naomba mtu anayeweza kuniunganisha n.a. watu wenye accounting firms Morogoro ili wakati nafanya Cpa yangu niweze pata uzoefu hapo bila kunilipa chochote ili niweze kutimiza Ndoto yangu.
Nashukuru kwa ushirikiano wenu.