Recent content by kituma12

  1. kituma12

    Salum Mwalimu ana watoto, asidhalilishwe

    So Esther Matiko kazaa na Salim mwalimu. .?
  2. kituma12

    Ushauri

    Toa number ndo dawa ya mtu anaye taka kukuharibia ndoa
  3. kituma12

    Ushauri

    Mimi naku support 100% hakuna kitu kinaudhi kama mkeo akwambie eti ex wake kamtafuta....mumeo wa huyo dada ni mstaarabu sana, sasa Dada apambane na hali yake kulinda ndoa yake asitafute sababu za kumsingizia mumewe eti kwanini kakaa kimya, ulitaka akupigi vibao?? Una uliza ufanyeje usha shindwa...
  4. kituma12

    Zitto Kabwe: Uhuru Wangu wa Maoni Ulilenga Kulinda Uhuru, Haki, Hadhi na Madaraka ya Bunge

    Hi KO sidhani kama kuna adhabu zaidi ya kuambia aombe radhi na maisha yaendelee...maana ile adhabu iliyo kuwa imeandikwa naona now haita somwa tena
  5. kituma12

    Kesi muhimu DPP anaamua kuzifuta na kutokuendelea nazo, lipo tatizo kubwa mahali

    Office ya DDP haijawahi shinda kesi yoyote ya maana .....wanacho fanya ni kuwa "busy body"
  6. kituma12

    Usiyotakiwa kuuliza wala kuhoji kwenye hili janga la Tundu Lissu(Wasiyopenda kuyasikia viongozi wa CHADEMA)

    Kwamba mbunge wa CCM ndo kalipia ndege?? Mbona unatuaibisha wanaCCM, umeona ufafanuzi ulio tolewa na bunge au una washwa washwa kama washataafu?
  7. kituma12

    Usiyotakiwa kuuliza wala kuhoji kwenye hili janga la Tundu Lissu(Wasiyopenda kuyasikia viongozi wa CHADEMA)

    Kama umechanga omba mchanganuo ila kama huja changa funga kopo lako
  8. kituma12

    Usiyotakiwa kuuliza wala kuhoji kwenye hili janga la Tundu Lissu(Wasiyopenda kuyasikia viongozi wa CHADEMA)

    Una umia nini watu wa kichanga??? Km cha kuna hela au hakina, kwamba why Lowassa,Sumaye na Mbowe wasitoe hizo hela, ww una umia nini??
  9. kituma12

    Usiyotakiwa kuuliza wala kuhoji kwenye hili janga la Tundu Lissu(Wasiyopenda kuyasikia viongozi wa CHADEMA)

    Sasa ww unaumia nini?? Unajua kila nikiona reply zako nashindwa kuelewa nini kinacho kuuma??
  10. kituma12

    Usiyotakiwa kuuliza wala kuhoji kwenye hili janga la Tundu Lissu(Wasiyopenda kuyasikia viongozi wa CHADEMA)

    Babu ungekuwa umechanga ulitakiwa kuhoji hivyo ulivyo uliza sasa huja changa povu lina kutoka vipi unge kuwa umechanga si ungekwenda Police kushtaki kabisa? Acheni ujinga basi sometimes, kwanza unajidhalilisha kuuliza vipi visivyo kuhusu....kama una beef na Mbowe mchafue, Mbowe sio kumuungiza...
  11. kituma12

    Wanawake muwe mnatukataa kweli kweli

    Yaani sisi wanaume kama tunakutongoza hutaki ila kila niki kutumia text unajibu najua ipo siku utaachia tu.... Kuna kamsemo aliniambia friend of mine ..nati ya train hata iwe gumu kiasi gani kama utakuwa unaigonga gonga na kijiko kila siku ipo siku itaregea tu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kituma12

    Siku ya 7: Tundu Lissu bado amelazwa ICU na hawezi kula, kuamka na kuzungumza na yeyote

    Kwanza jifunze kuandika "malo" ulitaka kusema nini hapo?? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kituma12

    Napata shaka kama ana mapenzi ya dhati kwangu

    Nilitaka kutukana Ila matusi uliyo pewa yanatosha Turudi kwenye ushauri sasa... Kwanza nadhani unajua nini maana ya "karma" Kwakuwa ume mpotezea kaka wa watu 3 years without true love ni bora umwache naye aje kupata mtu anaye mpenda kuliko kuendelea kupoteza muda na wewe! Pili kama ume weza ku...
Back
Top Bottom