Wanawake muwe mnatukataa kweli kweli

Wanawake muwe mnatukataa kweli kweli

Ukimpotezea badae anakuja kwako kujibebisha...analalama ooh hunikumbuki unanipotezea mara miss you..ila omba tunda uone utakavyopigwa chenga
 
Hata useme nini mkuu hawawezi kukuelewa kamwe. ..ndo walivyo

"gentlemanx "
 
Aisee!
Shemeji anatunza "reserve list" kwa wakati ujao.
 
Kumkataa mtu siyo lazima umtukane yakupasa kutumia busara na hekima matusi kejeli kamwe siyo ustaarabu mbele ya jamii
kuchat na mtu sidhani kama kuna ubaya coz ndo mwanzo ww kufahamiana na mtu pia kujenga connection na watu mbalimbali
ishu ni kuwa na msimamo na kufahamu unataka nini maishani mwako (hii inategemea na tabia ya mtu mwenyewe )ni maoni yangu tuu
Yaani sisi wanaume kama tunakutongoza hutaki ila kila niki kutumia text unajibu najua ipo siku utaachia tu....
Kuna kamsemo aliniambia friend of mine ..nati ya train hata iwe gumu kiasi gani kama utakuwa unaigonga gonga na kijiko kila siku ipo siku itaregea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
something never happen.,
hapo ni sawa na kusema wanawake wasiwe na marafiki wa kiume, kitu ambacho sio sawa.
We kama akili yako inakutuma kutongoza kila girl unae chat naye basi jua tatizo ni wewe na sio yeye kukuchekea.... so kama unaona anakuweka katika vishawishi wewe ndio umblock
 
Kuna wanaume mna tabia mbaya mtu unaingia fb unachukua namba ya MTU bila ridhaa take afuu unaanza Kulazimisha kutongaza MTU unamwambia nimeolewa lakin kang'ang'ana haina shida ili iweje
 
something never happen.,
hapo ni sawa na kusema wanawake wasiwe na marafiki wa kiume, kitu ambacho sio sawa.
We kama akili yako inakutuma kutongoza kila girl unae chat naye basi jua tatizo ni wewe na sio yeye kukuchekea.... so kama unaona anakuweka katika vishawishi wewe ndio umblock
Kabisa
 
Kwanini asichat na wanawake wenzie? Hio tabia inaboa sana,,,tatizo labda huwajui wanawake na akili zao mkuu. Utaona km unamnyima uhuru ila mpe tu lazma atau misuse tu. Siku anakulilia ni shetani kampitia ndio utatia akili.
 
Back
Top Bottom