ni ngumu kuzuia hii kitu chuoni kwa sababu baadhi ya wanafunzi vilaza ndy wamegeuza mtaji Wa kufikia Malengo yao. kama mwanafunz kilaza haoni shida kupigwa ili apate max unawezeje kumkamata mwalimu ili halo wanaotafutwa kwa nguvu ni wachache kuliko wanaojipeleka wenyewe
Ndugu wanajf amani iwe kwenu!
Naomba msaada wa learning materialz ya CPA katika masomo ya C1 corporate reporting,
C2 auditing and assurance na C4 public finance and taxation II.
Mwenye kunisaidia anitumie hayo materialz kwenye email kitukizima@gmail.com.
Thank you in advance.
mnapata shida kwasababu hamjawahi Wa wamoja na hamtawahi kuwa wamoja kwasababu hamjielewi kila MTU ameingia kwa interest yake. Ni chini ya Wa asilimia 20 ya walimu wote Tanzania walienda ualimu kwa hiyari. wengine wote mlienda either baada ya kufeli au mazingira magumu ya kwenu hivyo kufanya...
Madhara ya kuvuta sigara au kunywa vinywaji vyny kemika yanategemea na kinga ya mwili wako si lazima madhara yafanane au mpate kw wakati mmoja. Ndo maana wengine wanasema soda si nzuri lakini wengine mpk wanafariki hazijawah waathiri. Ndo nnavyojua hivyo.
Hili ni tatizo siriaz na si tu kwenye uhusiano hata kutimiza malengo yako, kama uko addicted nayo kuna mambo utajikuta unayachelewa, hairisha au kuyandoa katika ratiba yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.