Recent content by Kitotolii

  1. K

    Cheka kidogo

    Jaman mi naona alistahili 100% hahahaha
  2. K

    Msaada: Ndoa ya ndugu yangu ipo mashakani

    Duh ila na mawifi wengne wapunguze ya nin kwnda kuingilia ndoa ya kaka yako.jaman na wakaka nyie unapoamua kuoa ebu take care of your wives we utaruhusuje mkeo ateswe na dada zako nawe upo iyo tabia ya kuwaachia mawifi hela za matumizi wkt mi mkeo nipö ndo nin c bora ungeniacha kwe2 ukaishi na...
  3. K

    Regina Mwalekwa wa Clouds FM alamba shavu BBC!

    Jaman ur my role model kip shining mamy nakutakia kila lakheri kaitangaze vyema nchi ye2!
  4. K

    Enzi ulipokuwa boarding

    Duh boarding nouma siku moja tukiwa 4m1 Bukoba Lutheran 2007 2ko prepal watu c wakawa wanapga kelele mara madam akaja akatubeba darasa zima 2kaenda kulala staff room chini kwny vumbi dah umeme c ukakatika watu wakashangilia wakijua adhabu imeisha ebana eeh tulibak mpk saa 4 usku duh kuna wengne...
  5. K

    Daaah! inasikitisha kweli..!

    Yan ametuumiza kwel asirudie tena
  6. K

    Usiombe kuoa mke nuksi

    Duh iyo nouma pole aisee
  7. K

    Naogopa kumwumiza ushauri please

    Jaman wamebak wachache sana km wewe ubarikiwe mpk ushangae juct mwambie ukwel mapema ili ajipange mana ukisubir yatakua mengne bt be wise wen u talk 2 her!
  8. K

    Msaidieni huyu jamani!

    Habar zenu wana jamvi! Naomba nianze kwa kuwaomba tafadhal 2saidiane mawazo ktk hili mi nina rafik angu wa kike amekua akiumia sana kwan kuna kaka ametokea kumpenda sana lakn anashndwa kumwambia mbya zaid hyo kaka anasoma dar na yey ypo tanga jaman anahitaji mawazo yenu afanye nin ili aweze...
  9. K

    msukuma awa kituko

    Matale genayo
  10. K

    Morogoro mpotayariiii?

    Karbun kihonda
  11. K

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Udaku sio inshu maana sa nyngne wanasingizia watu
  12. K

    Helbs

    Na wengne 2nao appeal 2naambiawa error occured kila nikijaribu kujaza inakataa sa cjui inakuaje apo jaman!kwa anaejua njia nyngne msaada pliz?
Back
Top Bottom