Usicheze na hisia za mwenzio

Usicheze na hisia za mwenzio

Pole sana masai dada naona imekuuma sana huyo jamaa kakuchukulia poa. kama vipi mlipue tu tumfahamu hapa.
 
Last edited by a moderator:
jamani kwa nini mnatangaza kutaka wachumba alafu mnafanya mambo ya ajabu,,,nilifatilia post ya kaka mmoja wiki kama mbili zilizopita alisema anatafuta mchumba sasa baada ya kuchat nae kwa muda leo hii tukapanga tukutane kuzungumza cha ajabu ananiambia eti uje uage kabisa haurudi ili twende club tutarudi usiku CLUB?????????? hivi kweli unataka mke ama??? yaani umenifadhaisha natamani nikutaje hapa,, alafu jingine ni kwamba na mimi nilipost lakini naona wengi wanaokuja pm wanafanya games jamani hivi msaada hapa kabla hujafika mbali na mtu utajuaje kama ancheza na hisia zako? maana siku hizi watu wana janja nyingi

si bora ungemwambia hukohuko kwamba hudhani kwenda club ni vyema. huenda angekuelewa na angebadilisha eneo la kukutana.
 
Huo upendo ukipewa utaweeza kuuhimili au unabwabwaja tu hapa jf??
Wewe utakuwa ni mwanamke mwenye masharti magumu.

huyo binti sijaona mashart yake magum,huyo jamaa ndie b.we.ge, tena "mento fresh"we huwez kua hujaonana nae hata ck moja unamwambia aje muende club na ukamtafune,anatakiwa kua na akili,sio kila mwanamke yuko km anavyofikiri.pole sana dada.
 
hapana my dear namuomba mungu sana kuvua sketi ni jambo la mwisho sana

sketi huna haja ya kuvua, ni hiyo ya ndani tu, sketi baki nayo tu, hahahaaha........

Pole sana dada masai. Ungekua karibu ningekupeleka lunch mchana kweupee na mambo ya nguoni nisingegusia kabisaaaa.
 
jamani kwa nini mnatangaza kutaka wachumba alafu mnafanya mambo ya ajabu,,,nilifatilia post ya kaka mmoja wiki kama mbili zilizopita alisema anatafuta mchumba sasa baada ya kuchat nae kwa muda leo hii tukapanga tukutane kuzungumza cha ajabu ananiambia eti uje uage kabisa haurudi ili twende club tutarudi usiku CLUB?????????? hivi kweli unataka mke ama??? yaani umenifadhaisha natamani nikutaje hapa,, alafu jingine ni kwamba na mimi nilipost lakini naona wengi wanaokuja pm wanafanya games jamani hivi msaada hapa kabla hujafika mbali na mtu utajuaje kama ancheza na hisia zako? maana siku hizi watu wana janja nyingi

Niliwai andika kuwa natafuta dada wa kimasai,mbona hukunitafuta!
 
Kadir maendeleo yanayopatikana ndo kadiri vijana tunazinguana kwenye mahusiano,
inawezekana kusaka mchumba/mpenz mtandaon ni ryt way,bt a wrong way in our society,lakin pia wasakaj wachumba let say wadada,wao wanawakat mgumu sana,na ndo maana wanalazimika kuingia hapa,kwao wao Kumtongoza mwanaume/mvulana ni kazi sana,
mi nawatakia kila la kheri,wasakao wachumba hapa,
 
Mtaje ndio nikushauri tena afadhali alikuambia muende club mwingine angekuambia umkute guest room no 12
Humu ni pasua kichwaa we tafuta mitaan kwako huko
 
nilimwambia akasema mimi nina mambo mengi ndo maana sijiamini hivyo sitaki kwenda club wakati nilimpa sabab nikamwambia huko mimi siendagi baada ya kunitext
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom