Recent content by KITOSA

  1. K

    Hon. Freeman Mbowe chairman

    tumia akili ndogo tu Formal Education lazima uingie darasani!wacha elimu za hadithi,kuongea,fitina wizi nk,Slaa asingeitwa DOCTOR bila kuingia darasani
  2. K

    hii kali

    hii imetulia, lazima uoneshe kuwa ulidhamiria!!!
  3. K

    kirefu cha fifa

    unamatatizo ya afya na fikra kidooogo nafikiri unahitaji msaada wa kisaikolojia
  4. K

    Hellooooo!

    Karibu kijana,vua viatu kungúta vumbi,kuna maji juu ya meza nawa uso,kaa kitini subiri upate maelekezo ila akija mtu na akakutusi sema AHSANTE!!!!!
  5. K

    Little Johny part two...

    teh teh hata nani angeua tu!!
  6. K

    Ni pombe gani ya kienyeji unaikubali kupita zote?

    ulaka mwana ile kitu wacha!!!!
  7. K

    Chemsha bongo

    kweli we kondoo ebu cheki fresh mazee!
  8. K

    More than serious nahitaji mume wandugu

    Dah haya vijana wenzangu mie vigezo vimegoma!bibie anaonyesha hana zengwe!kuvutia zaidi weka plain CV!
  9. K

    Habari zenu wasomaji wa kurasa huu

    ebwanae hili gundu!mara umeingia choo cha kike,ingia mlango wa kusini,mara wawapi?wazo zaidi weka cv yako upewe kazi kwenye chumba hiki maana zipo nyingi,kucheka,kusonya,kama hapo naona umenuna ni moja ya kazi za ukurasa huu!
  10. K

    Salesman training

    kudadeki si amefunzwa!
  11. K

    msaidieni jamani!

    thanks a lot kwa wote mlionipa ushauri mzuri na pia wote mlioponda pia nawashukuru coz wote hatufanani kwa uelewa na hat kuwasilisha hoja ambayo mwenzio ameona amekwama na ameomba msaada.thakns JF its a good place!!
  12. K

    msaidieni jamani!

    may be inawezekana kama ulivyonena,pia soma vizuri elewa kisha uchangie ndio mnafeli kwa kutoelewa!
  13. K

    msaidieni jamani!

    kama imekuchosa ungesoma then usichangie,hujalazimishwa kuweka vidole na kutuliza akili halafu unaandika pumba!thanks lizzy mawazo mazuri sana
  14. K

    hebu fikiria!

    malawi ni jirani zetu,kuna sheria wanataka kuipitisha juu ya kutoa ushuzi iwe ni kosa la jinai!sasa hebu pata picha ingekuwa hapa kwetu bongo na hasa kwa wanaosafiri kwa mabasi ya umma karanga,mahindi ya kuchemsha,mayai ya kuchemsha,halafu basi likifika ILULA anakula ugali nyama mtindi,akifutua...
  15. K

    msaidieni jamani!

    kuna rafiki yangu alikuwa na mke hapo awali,ikatokea tafrani wakaachana jamaa akiwa kwenye msoto mkali,akaahidi hatooa tena!Mungu si athumani akatokea mdada akampenda akamuoa,sasa kivumbi yule mke wake wa awali amemuangukia na ametuma watu amrudie na hii ni baada ya miaka sita!afanyeje na ikiwa...
Back
Top Bottom