Recent content by kitoromoni

  1. kitoromoni

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Chenge umefika rasmi

    hawezi kung'oka kwa sababu unaendekeza njaa
  2. kitoromoni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe night dada poa

    wadada wa makampuni ya simu huwa mnawaoneaga kweli,yaani kila mtu akileta thread hapa ya kuzinguliwa na demu utasikia anafanya kwenye kampuni flani hivi ya simu au bank flani hivi,hasa nmb.ok badada ba kampuni za simu acheni uzinguaji basi kama ni kweli
  3. kitoromoni

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Fly Emirates mna kesi ya kujibu

    mkuu,mimi siyo msemaji wa emirates lakini naona una mapungufu makubwa sana katika kuelewa maswala ya usafiri wa anga,kama kuna mtu amekudokeza kuhusu usafiri huu basi kakumegea vipande vipande ndo maana hujui nini ni nini.kwanza kabisa nasikitika sana kwa kuondokewa na kijana mwenzangu akiwa...
  4. kitoromoni

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya kuwapeleka watoto kusoma Jamaica

    haya sasa
  5. kitoromoni

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha EPA Daudi Balali alikufa na kipindi cha Escrow Mgimwa kafa, Kuna nini?

    isije kuwa tezi dume nae akafia huko na kuzikwa huko huko
  6. kitoromoni

    JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka umewaponza wenzako nimeamini Mwanamke siyo mtu wa kupiga nae deal

    mi sina shida sana na huyu mama,kwa kuwa alishasema alipokea in good faith,basi ningeomba pia arudishe in good faith kile alichokichukua.wala hata hana kesi ya kujibu.just simle like that
  7. kitoromoni

    JamiiForums Tanzania Mkombozi Bank waangaliwe wasije kuwa kama FBME Bank

    benki haina kosa kwani ilipelekewa hela na wateja wake.wateja hasa ccm ndo wezi.tumbili kakamata mwizi meeeen
  8. kitoromoni

    JamiiForums Tanzania Rugemarila, Tibaijuka, Mujulizi, Ruhangisa, Rwabukoba ni kashfa nyingine kwa mkoa wa Kagera!

    inawezekana hawa watu siyo watanzania,nadhani kuna haja ya kuchunguza uraia wao,haiwezekani wakawa wezi wa mali ya umma kiasi hiki.pengine siyo wenzetu ndo maana wanatuibia
  9. kitoromoni

    JamiiForums Tanzania Akutwa juu ya nguzo ya umeme akiwa uchi wa mnyama kabisa

    wonderful world hahahah
  10. kitoromoni

    JamiiForums Tanzania Majumuisho ya vikao vya Baraza la Mawaziri na vikao vya CCM Dodoma juu ya Escrow

    haijalishi mkuu,but kwa asilimia kubwa anayoyaleta ndo huwa yanatokea.yaani yuko mbele ya muda wa mafisadi na wezi kama wewe
  11. kitoromoni

    JamiiForums Tanzania Majumuisho ya vikao vya Baraza la Mawaziri na vikao vya CCM Dodoma juu ya Escrow

    nakuaminia mkuu Nyerere
  12. kitoromoni

    JamiiForums Tanzania Upinzani: CCM ni Hatari kama Dihdydrogen Monoxide

    ni kweli kwa wizi tu ni hatari
  13. kitoromoni

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya simu kwenye ndege

    siyo mbwembwe,mawasiliano ni suala nyeti sana katika aviation
  14. kitoromoni

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya simu kwenye ndege

    umeona eeh
Back
Top Bottom