kuna utaratibu kwamba endapo utapoteza cheti chako cha kidato cha nne au cha sita haijalishi ni kwa namna gani iwe kuibiwa,kuunguliwa, kudondosha, kwenye ajali hata uje na evidence gani hutapatiwa cheti kingine, kinachofanyika km cheti hicho kitahitajika unapeleka maombi yako NECTA kuwajulisha...
waungwana, je ni utaratibu gani wa kufuata pindi ninapotaka kubadili hati ya kiwanja yenye majina mawili na libaki moja na mm mwenye ni mmojawapo wa majina hayo yalipo kwenye hati, msaada tafadhali
naombeni kuuliza
nini tofauti ya i phone, i pad, tablet, adroid na gadget? mambo haya yananichanganya sana, naomba mwenye uwezo wa kunifafanulia kwa kiswahili ili nielewe vizuri
dawa kubwa ya kithembe ni mwenye nacho kuwa makini anapotamka maneno yenye s na z, ajitahidi kujirekebisha baada ya muda kitapungua na baadae kitakoweka, ushahidi ninao. me nakipenda I wish ningezaliwa nacho kisingenisumbua, kama ninvyopenda dimples
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.