Sasa wewe unataka waongee haya kwani wewe ndio unaepanga wao waongee nn?
Au ndio umewaandalia ilani yao ya uchaguzi.
Acha kutaka kila ukipendacho kifanywe na watu usioshahabiiana nao kwa mawazo.
Tutajuaje kama na wewe sio mdau wa hiyo kampuni ya mabasi na unatengeneza mazingira ya kujitetea kwa abiria ili kurudisha imani yao wasikukimbie na usafiri wako mbovu?
Kamilisha zoezi tu kiongozi maana waweza kuta hiyo issue ikafanikiwa na kusitokee utapeli unaosemwa kwakuwa pia hatujapata uhakika wa mada iliyotolewa kwasababu kuwa na picha za mtu sio uthibitisho wa kuamini hayo yaliyosemwa. Pia nawe chunguza kwanza kabla ya kuamini moja kwa moja.
We SUMU wewe jina lako lenyewe linatisha,unataka kumfundisha kweli au ndio unataka kufanya kama alivofanyiwa ndugu wa Zanzibar Spices alivokuwa anarisiti mpaka akapata na mume hukohuko? Lol
Basi kama wameuliza vyeti sidhani kama kuna tatizo sana kwasababu picha mara nyingi zinahitajika unapokuwa umeshapata ajira. Nakutakia kila la heri maana ushindani bado ni mkubwa sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.