Recent content by Kitondo

  1. Kitondo

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Kimara: Mstari katikati ya upendo, hisia na kujali

    Waislam kwa Wakristo.Please tuwe twatengamuda wakufanya Meditation.Na tusome dini kwa uchambuzi yakinifu sisi wenyewe sio kukaririshwa.Ukilegea kiroho mazee ni shida sana.
  2. Kitondo

    JamiiForums Tanzania Anga zimefunguliwa, lakini wenye ndege zao wamegoma kuzileta nchini!

    Usiongee usicho kijua.Airports nyingi ulimwenguni zinafunguliwa kwanzia katkat ya June mpaka August Aviation indusry itakuwa katka peak ulimwenguni.Nenda ICAO ukaone
  3. Kitondo

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza rasmi Biashara ya kuuza mafuta nchini

    Hiyo hatua ni nzuri.Huwenda mafuta ikawa sio ghali sana
  4. Kitondo

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wa utalii nchini: Waziri Kigwangalla aonyesha kukata tamaa

    Ushauri mzuri sana.Natamani nimtage waziri
  5. Kitondo

    JamiiForums Tanzania Waajiriwa mliofanikiwa maisha mnameki vipi mbona mimi nafeli?

    Kaka hii kitu hata mimi imenitokea sana.Lakini ni kusihi kitu kimoja. Lakini nashukuru Mungu tokea nipate kazi nlipanga baada ya kitanda kitakacho fata ni kiwanja. So nlikuwa najua naelekea wapi. So nlichokuwa nafanya ni kumtumia hela mwenye kiwanja kila mwisho wa mwezi kabla sijafanya chochote...
  6. Kitondo

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu ana hii nyimbo Stara Thomas, Solo Thang, Banana Zoro na Mr Paul inaitwa "Usione Soo"

    Long time.Nko form four apo
  7. Kitondo

    JamiiForums Tanzania Ambrose Dunga: Producer aliyezivunja vunja Bongo Records, MJ Records kwa ma-beat makali yenye 'back vocals'

    Sasa huku Tanga kafata nini??Hebu nipe namba yake
  8. Kitondo

    JamiiForums Tanzania Kilichompata Andrew Mayalla Baba wa Pascal Mayalla kutoka Kwenye system (Wasiojulikana wanaotambulika)

    Kwamba Makonda achukue nchi 2025???Thubutu yake
  9. Kitondo

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kuwafahamu au kuwasikia hawa?

    Noorah
  10. Kitondo

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kuwafahamu au kuwasikia hawa?

    D Knob
  11. Kitondo

    JamiiForums Tanzania Uongo mbaya. Kwa huu mwaka huyu ndiye msanii anayeingiza pesa nyingi

    Aisee jamaa umeongea uongo ulopitiliza.Konde alifanya shoo gani za ulaya baada ya kutoka WCB?Au wewe uko ulimwengu gani?
  12. Kitondo

    JamiiForums Tanzania Kwa wale Forex Trader, vipi kuhusu huyu broker wa Forex Exness

    Mwaka juzi nlimtumia mt4 ika freez,badae siku tatu kurudi hewani pair ya GBPJPY nlikuwa na profit ya 900$ na pair ya EURUSD nlikuwa na loss ya 300$.Nkazi vuna zote,baada ya wiki ili freez tena mpaka leo.Huwezi amini.Sikushauri huyu brocker.Tumia Tickmill
  13. Kitondo

    JamiiForums Tanzania Petition to investigate Bill Gates for "medical malpractice", "crimes against humanity" gains momentum

    Yan we jamaa uko nyuma sana ki fikra.Watu type yako ndio Ma Elites wana wataka mana wana waconrol mpaka basi.
  14. Kitondo

    JamiiForums Tanzania Biashara gani inafaa Mjini Tanga

    Hardware
  15. Kitondo

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

    Kwa upande wangu ni Mshana.Anajali utu wa mwingine.
Back
Top Bottom