Recent content by kitoko

  1. kitoko

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hela ya unga, nakufa njaa

    Wapendwa salaam alyk, tumsifu Yesu Kristo wana JF, Kuanzia jana siko vizuri nimehangaika nimekosa nimetafuta bado sijapata wapendwa ninashida ya kusaidiwa hela ya unga tuu. Please nisaidieni wana JF mwenzenu nakufa njaa.
  2. kitoko

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali RAV 4 kill time taa ya ABS

    angalia system yake itakuwa na loose
  3. kitoko

    JamiiForums Tanzania Tunaotumia Subaru Legacy B4 tukutane hapa

    ukinipa subaru na ndizi nachukua ndizi nile nishibe sitaki mawazo mimi na mbolea ya chumvi chumvi
  4. kitoko

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo afunguka kwa mara ya kwanza tokea atoke polisi

    hakuna shule tena
  5. kitoko

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo afunguka kwa mara ya kwanza tokea atoke polisi

    hakuna shule tema
  6. kitoko

    JamiiForums Tanzania Nimepata dhamana na kutoka mahabusu Magereza Butimba-Mwanza

    pole mkuu na zile kash kash za nyapara kule gerezani usiku maana umenona.....endelea kupambana ili wakurudishe maana kale kamchezo umekazoea ....siku sio nyingi akili zitasoma sawa
  7. kitoko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tujikumbushie vituko vya leba

    sitasahau nipo chumba cha labour usiku nilikuwa zamu mrembo mmoja uchungu ukamshika mweee muoga kama nini kapush weee mpaka namuonea huruma haswa pale alipoanza kulia na kutaja idadi ya wanaume aliokula nao ujana mwisho nilishangaa alivyoniomba karatasi asaini kuwa hata beba tena mimba lkn...
  8. kitoko

    JamiiForums Tanzania Uchawi niliowahi kufanya nikiwa sekondari

    mshana bwana enzi za Gambian nilikunyanyasa sana
  9. kitoko

    JamiiForums Tanzania Demiss sio malaika ni binadamu kama wewe

    fwatalaaaaaa!!!!! mbuzi kafia kwa muuza supu!!!!!!
  10. kitoko

    JamiiForums Tanzania Napunguza mwili lakini kichwa changu kipo vile vile

    kunywa maji ya betrii kitapungua faste
  11. kitoko

    JamiiForums Tanzania Mtu kamili vs mtu nusu

    eeeeh demiss nipo nyuma yako mamaa
  12. kitoko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli mimba yangu au ndo napewa mtoto wa nyongeza?

    kama ulipiga kavu Lea mimba hiyo
  13. kitoko

    JamiiForums Tanzania BASATA wamfungia Roma Mkatoliki kufanya shughuli za muziki kwa miezi 6, Kibamia champonza

    wale walo mteka walikuwa na vibamia nini
Back
Top Bottom