Recent content by Kitivoone

  1. K

    JamiiForums Tanzania COMPRESSOR INAUZWA TSH 600,000-80Ltrs

    Compressor inauzwa, Bei ni 600,000, kampuni ya Australia (PILOT) Piga simu: 0697175082-serious buyers only.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza na kuuza Hydraulic Seals

    Habari wanajukwaa! Tunayo furaha kubwa kutangaza kuwa TESE sasa inatengeneza Haidroliki Seals zenye ubora wa kimataifa hapa hapa Tanzania kwa ajili ya mitambo na mashine zako Kwa nini uchague hydraulic seals za TESE? 🔹 Ubora wa Kimataifa: Seal zetu zinakidhi viwango vya kimataifa na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa kampuni ya Cocacola, fanta ndani ina kisoda kilichokunjwa

    Hii ni kweli...mimi imenitokea mara mbili sikumbuki hata ni kampuni gani. Mbaya zaidi hata hiyo soda ikatokea bahati mbaya umekunywa ni mbovu kabisa. So sio kwamba nikuharibu biashara hapana, Ila huo ni ukweli mm binafsi imenitokea. Na inaweza tokea hata kwa kampuni yoyote sio lazima coca.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Cashier Anahitajika Dar es Salaam

    Description To work as a cashier Minimum Education O-Level QUALIFICATION: Minimum NBAA DIPLOMA IN ACCOUNTS Send your CV and application letter to: teseandtecho@gmail.com Deadline; 10 JULY 2023
  5. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Nissan linauzwa

  6. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Nissan linauzwa

  7. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya Nissan linauzwa

    Gari aina ya Nissan spirit type two (2), serious buyers only, gari nzima na inatembea bei ni 8 Millions, Kwa maelezo zaidi piga 0757340880
  8. K

    JamiiForums Tanzania Biashara gani yenye kuingiza faida ya milioni 100 mpaka 500/mwezi/wiki/siku?

    Je vipi kuhusu ufagaji nyuki. Ni biashara kubwa sana na inayokuwa kwa kasi mno, na ina soko kubwa, nina mifano hai ya watu hapa kwetu wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Entry level yake ipo vizuri sana na nyuki ana mazao mengi tu zaidi ya asali. Mkuu just PM nikupe mlolongo vizuri. Shukrani
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania is building their second flyover as Nairobi is currently building their 50th one.

    Duh na hiyo pia ni flyover, watu wa construction karibuni mtupe elimu kidogo, maana hizo Tz zipo nyingi hata uswazi kwangu maeneo ya mtongani kuelekea mbagala ipo kama hiyo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni Signature ya producer gani Bongo huwa ina Swag na inakuvutia? ( Producer Mkali wa Signature)

    TEMBAAAAAA....MAJANI HAPA!!!!!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi ya kuwekeza kipindi hiki kwa mtaji wa milioni 30 -50?

    Kaka spare zinalipa sana nazungumzia industrial spares and capital equipments, nipo tayari kukusaidaia na tutafanya biashara kwa 40m inawezekana kabisa.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Steven Mdoe aka Dj Steve B anaumwa sana

    "Sitivuu biii, ni wewe nasababisha muji kutishingika kinoooma nooma tupa sisi rubudaniii...asaaanduuu" hahaha ilikuwa ni jingle jmosi bongoflava clouds fm kuanzia ngoma nne hivi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Steven Mdoe aka Dj Steve B anaumwa sana

    dah so saaaad, binafsi nikiwa msanii miaka ya nyuma jamaa alinigusa direct kabisa. nakumbuka ilivyokuwa shida kumuona iwe club au hata clouds pale lkn alitupigania sana na hata tukafika mbali, ila Mungu ananjia nyingi sana kutufanya binadamu kuwa si kitu kwake. Get well soon brother
  14. K

    JamiiForums Tanzania Udsm na mzumbe ni confirm kp?

    Kama upo vizuri kasome BAF kwa manufaa yako ya bdae, ila kama ndio hivyo shule yake ni ngumu kidogo. UDSM sikushauri sana.
  15. K

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa sana hapa keko wanga karibu mkabala na kiwanda cha dawa cha gulin, kuna bomba lenu limekatika sasa ni miezi minne maji yanamwagika na wahuni wanachota wanauza. tumeita fundi wadawasa kaja mpaka leo hajarudi, n hasara kubwa sana na sisi wakazi wa hapa maji...
Back
Top Bottom