Recent content by kitilu the poor

  1. kitilu the poor

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinayakimbiza mawazo yako mazuri unapozishika fedha

    Sumu iliyo tamu hii
  2. kitilu the poor

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    BOSS MZUNGU TATIZO WAPAMBE
  3. kitilu the poor

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mwanamke kupewa pasu kwa pasu baada ya talaka bila wao kuchangia ni wa Hovyo na kandamizi kwa wanaume?

    kuoa wala kuolewa si jambo la lazima tunaweza kuwa na watoto na tusiishi pamoja. Tatizo wenzetu wanaona kuolewa ni bahati ilhali sisi wanaume kuoa ni kitu cha kawaida tu na hakuna wa kutushupalia kwamba uoe
  4. kitilu the poor

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mwanamke kupewa pasu kwa pasu baada ya talaka bila wao kuchangia ni wa Hovyo na kandamizi kwa wanaume?

    Sio mtaalam wa masuala ya sheria za nchi wala za ndoa, ila nachojua pindi waachanapo wanandoa kisheria huwa na mgao wa mali nusu nusu. lakini napokuwa na mkanganyiko na mimi ni pale ambapo tunawalipia mahari meaning that ni kama wanaume tunannua mwanamke lakini kama ni shukrani kwa wazazi wa...
  5. kitilu the poor

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mwanamke kupewa pasu kwa pasu baada ya talaka bila wao kuchangia ni wa Hovyo na kandamizi kwa wanaume?

    hili suala ni pana, kwenye hili ili kuliweka sawa labda ufanyike mfumuko wa sheria na mila.
  6. kitilu the poor

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

    Tanzania inataka kuwa mali ya watu tene na si wananchi
  7. kitilu the poor

    JamiiForums Tanzania Serikali yadai watanzania hawapendi kula nyama

    Tutakula vipi nyama wakati hata fungu la bamia na dagaa ni changamoto
  8. kitilu the poor

    JamiiForums Tanzania Imenichukua miaka 10 kujenga chumba na sebule , na kunua gari aina ya terrios kid - kweli ajira nyingi hazilipi zama hizi

    Unalipwa milioni mbn nyng sana mm nalipwa laki 3 nashukuru Mungu mana nilitaka kuacha ila nilipoona kuna wenzangu wanatafuta kujitolea ikanibid nikomae tu NJAA MBAYA
  9. kitilu the poor

    JamiiForums Tanzania Tunavyonunua Butchan Nyama ya Binadamu na Kula tukidhani ya Ng'ombe

    Kula bila kusali haitasaidia hapo maana umenunua nyama ya binadamu....tusali kabla ya kununua ili tupewe ya ng’ombe
  10. kitilu the poor

    JamiiForums Tanzania Umasikini ndio Ugonjwa Mbaya kuliko yote Duniani

    Umaskini ni kilema Maana ukiwa maskini unadharaulika sana hata taarifa za msiba hupewi maana huna utachopeleka zaidi ya kuwahi kufika tu
  11. kitilu the poor

    JamiiForums Tanzania Huwa unafanyaje kurudisha uhusiano mzuri na baba yako, kipindi nguvu ya chuki inapokuwa kubwa zaidi?

    Hali hii inawakuta wengi sana hata mimi pia imenikuta japo nlikua ni mtoto wa mwisho...... Kwanza nikupongeze kwa kujali familia yako kwa upendo uliotukuka. Tukirudi kwenye maada husika, ni kweli si vizuri kubishana wala kuzozana na mzazi , ila kwa hali iliyopo kwako hata wewe kiwango cha...
  12. kitilu the poor

    JamiiForums Tanzania Msaada upatikanaji wa simu used nje ya tanzania hasa dubai, china na southafrica

    Hongereni wana jamvi kwa kupata neema ya kuamka hii Leo. Nimekua muuzaji wa Simu used kwa muda kidogo ambazo nlikua nanunua kwa watumiaji wa hapahapa nchini ila nikapata wazo la kupata Simu toka nje ya Tanzania hasa nchi tajwa hapo juu ili kukwepa changamoto iliyopo nchini kupata Simu za wizi...
  13. kitilu the poor

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kesi za watu kunyanyaswa kwa mjomba au shangazi ni chache sana.?

    mama ndiye mzazi halisi wa mtoto ndio maana hats upande wake hufurahia uzao wake na kuupenda......kesi nyingine ni KWANINI KUISHI NA BABA WA KAMBO NI RAHISI TOFAUTI NA MAMA WA KAMBO
Back
Top Bottom