M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,039
nashangaa (in Matumbi's voice)!!Hawapendi kula nyama au hawana uwezo wa kununua nyama.

Nyama yenyewe iko wapi?, ungeanza kwa kuweka picha ya nyama za Tanzania na ujue kila mtanzania akila Kilo 50 kwa mwaka baada ya miezi sita tutaanza kula nyama ya binadamu maana wanyama wote watakuwa wameisha kwasababu nchi haina uzalishaji wa mifugo
Katibu Mkuu wa Wizara ra Mifugo na Uvuvi, Dkt. Elisante Ole Gabriel amesema kila Mtanzania anatakiwa kula kilo 50 za nyama kwa mwaka ili kuwafanya wawe na afya bora, pamoja na kuwataka Watanzania kuongeza zaidi suala la ulaji wa nyama.
Katibu Mkuu Elisante Ole Gabriel ametoa kauli hiyo wakati alipotembelea Makao Makuu Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) jijini Dodoma, ambapo amesema kwa mujibu wa Shirika la Chakula Duniani (FAO), kila Mtanzania anakula kilo 15 tu kwa mwaka jambo ambalo si toshelezi.
"Mtazamo wetu kama Wizara, NARCO itumie fursa hii ya ya soko la nyama hapa Tanzania kwa ajili ya kuuza na kuhamasisha watanzania kula nyama, takwimu za Shirika la Chakula Duniani zimeonesha Watanzania wengi ni wavivu kula nyama.", amesema Ole Gabriel.
"Takwimu zinaonesha kila Mtanzania anatakiwa kula nyama kilo 50 kwa mwaka, lakini Watanzania ni wavivu kula nyama ndiyo maana takwimu zinaonesha kila Mtazania anakula kilo 15 kwa mwaka, kwa hiyo muhimu sana NARCO wakatumia fursa hii" ameongeza.

inawezekanaKwa hesabu za haraka haraka wanataka kila mtu ale kilo moja kwa kila juma
Wengi Tunis has kula bei itapungua, Wagogo wenye butcher watakosa wateja.Mara ya mwisho kula nyama ya Ng'ombe ilikuwa 2014 mpaka leo sijakula tena .
Nakula sana Samaki na Kuku niliamua kubadilisha mfumo wa maisha baada ya stori nyingi kuhusu nyama nyekundu. Though my family( wife , children and siblings) is still eating red meat sikutaka kuwa jiwe(JPM) niliwashauri ila hawakunielewa.
Isitoshe gharama ya nyama kwa familia za watanzania walio wengi ni kubwa sana i guess kila ya nyama kwenye butcher za wagogo ni almost Tsh 6000/kg so itakuwa ngumu sana kwa familia inayoishi kwenye uchumi wa chini ya dollar moja kuweza kumudu hizi gharama halafu ukizingatia hawa ndio majority ya watanzania.
Kweli Hii ni nchi ya maziwa na asali. Kilo mbili za korosho pamoja na kilo 50 za nyama kwa kila raia. Eti unasikia kuna wabongo wameuwaea South Africa wakitafuts maisha.Subiri kwanza ile ya kilo mbili za Korosho Kwa kila Mtanzania itekelezwe.
Sent from my TA-1024 using JamiiForums mobile app