Recent content by Kiti cha mbao

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais wa Nchi za East Afrika aliyempongeza Magufuli

    Kaka magufuli hakushinda bali kateuliwa na tume hakuchaguliwa na wanaichi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Lubuva: Kufutwa Uchaguzi Zanzibar, hakuhusiani na Tanzania nzima

    Lubuva Kwani Zanzibar iko Kenya? Mbona matokeo ya zanzibar ulikuwa unayataja?
  3. K

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Uchaguzi Zanzibar hauna mahusiano na uchaguzi wa Rais wa Jamhuri

    Ccm mogopeni mungu Kwani hii Tanzania si ya kwenu tu, na wewe makamba chunga mdomo wako Usiwe chanzo cha kuchafua amani ya tanzania.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Nasikitika kuwatangazia kifo cha Baba yangu kipenzi

    Pole sana tena sana Mwenzetu apumzike kwa amani
  5. K

    JamiiForums Tanzania 'Inadaiwa' Gari la kura fake lakamatwa Njombe ikielekea Mtwara

    Nimeamini kweli CCM nimacholi
  6. K

    JamiiForums Tanzania ITV imepotosha habari ya usiku juu ya Magufuli

    ITV acheni upambe jana magufuli hakuwa na umati wawatu mbarali hata kidogo na mby alizomewa sana alipokuwa anaelekea mbalali.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa solar power msaada tafadhar.

    Check charge controller kabla ya mambo yote.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa adaiwa kukodi makomandoo wa Israel, IGP Magu ashtushwa, CHADEMA wang'aka

    Huko ni kupakana matope hao makomandoo wanakuja kama inzi? Msipende kuwatisha wa tanzania waacheni wachague mtu wa mpendaye
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

    Asante bwana pazi kwa kutupa matokeo
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka uwanja wa Taifa: Mechi ya Tanzania vs Nigeria leo tarehe 05/09/2015

    Vipi matokeo uwanja wa taifa?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kila ninayempenda sana amenizidi umri

    Umri c tatizo kubwa bali Upendo kitu mhimu
  12. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kauli rasmi kuhusu yaliyotamkwa na Dr. Willibrod Slaa

    Msiumize vichwa vyenu silaa maluki wa ccn kazeni buti msidanganyike kabisa mabadiliko lazima
  13. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kauli rasmi kuhusu yaliyotamkwa na Dr. Willibrod Slaa

    Lowassa ndo katinga sumbawanga jamani c jui tupite wapi watu nyomi
  14. K

    JamiiForums Tanzania Vurugu Kinondoni, Dar: Mabomu yatumika kutuliza ghasia

    Acheni uwongo kinondoni gani Hiyo?
Back
Top Bottom