Kila ninayempenda sana amenizidi umri

Kila ninayempenda sana amenizidi umri

Habari wanaJF

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 na nimeajiriwa kampuni moja huku Morogoro kuna kitu nashindwa kukielewa kwenye maisha haya ya mapenzi, kwangu mimi naona cha ajabu msichana nikitokea kumpenda sana na yeye kunipenda sana nimejikuta wote niliokuwa nao wamenizidi umri na ambao nimewazidi umri huwa hatuna mapenzi tunaishia kuachana na mimi kutafuta mwingine.

Ambapo napata mwengine tena ambao nawajua na tunapendana sana mwisho wa siku najikuta kumbe wote wamenizidi umri.

Wanajamvi hili limekaaje na limenitokea kwa wadada 4 ambao tulipendana sana kwa kipindi tofauti toka nipo shule.
Wewe ni Me Au Ke?
 
Hao ndo wa zuri, wanajua maisha ila wasizidi miaka 5 . Na mimi natafuta kama hao! cjui ntapata!!!!?

Utawapa tu..sema mm najikuta niko nao bila kujua umr wao unawez kumuangalia ukasema mdogo kumbe amekuzd umr
 
ila ukiwa na umbo dogodogo kama langu ni shiida mtu anakutokea unaona huyu kidumee ukijua umri wake unashika kichwaaa
 
  • Thanks
Reactions: ram
Kuna tatizo kuwa na aliekuzidi umri?
 
Kwani huo umri akikuzidi kuna ubaya gani??
 
Utakua una nyota ya kupendwa na mashugamami😀
 
Ukiwaona ni wadogo kimaumbo na huwez kujua kama wamenizid umri,nikiwa nay watu lazma wajue mm ni mkubwa na ki2 kingne unakuta wamenizid mwaka 1 au miwili na tunakuwa tupo kweny mapenz takriban mwez ndo 2naulizana na kujua kumbe wamenizid na wenyew hawana shida kabsa japo wanajua mm ni mdogo kwao na mapenz yanaendelea na niliye nae sasa amenzd miaka 2 na tunapendana sana japo anajua

Sasa tatzo ni nini!?
 
i_feel_ur_pain.jpg
 

Attachments

  • i feel ur pain.jpeg
    i feel ur pain.jpeg
    9.6 KB · Views: 88
Back
Top Bottom