Hothea thio mnywa pombe yeye ni mthabato safi(S.D.A) nadhani unajua wasabato walivyo na msimamo na dini yao. Tena ni muhumini mzuri wa kanisa la wasabato pale magomeni mwembe chai na anacheo kanisani.
Hivyo maneno hayo aliyathema akiwa na akili zake timamu.Kinachonishangaza uchunguzi wake...
Mie yalishanikuta mwenzenu, nilithoma alama zanyakati nikaona wakati ni ukuta ukishindana nao utaumia mwenyewe.
Ni bora jamaa akae pembeni kwanza amuache huyo mama ajiburudishe, yatamshinda tu,
Mapetha mengine yako kwa Grey Mgonja mi thijui kwanini bado yupo madarakani, huyu jamaa anahuthika na ufithadi wote unaofanyika hapa Tanzania. Thiku atakapotoka madarakani nitawaarika wana JF kushereheka nyumbani kwangu
Mwewe uwanja mpya umejengwa kwa ajili ya makumbusho ya taifa. kazi yake ni kwa watanzania kwenda kuungalia then basi.
Ulijengwa wakati wa mzee Ben, na kilikuwa ni kijimradi cha kifisadi na ndio jambo pekee rais wetu aliyepita analojivunia na ndicho kitu kitakachotusaidia kumkumbuka.
Nakubaliana na wewe mkuu kwa kweli ukilinganisha na za wenzake anaowajua chenge hasa akiwa AG, vya kwake ni jijisenti tu, ndio maana anaona kama tunamuonea bure mbona mafisadi wenyewe wapo.
Mi nadhani twende nae taratibu atatuambia mengi, maana kama ex- AG anajua siri nyingi za nchi hii, na...
Ila wenye system nimeongea nao wanasema bilion moja ni pesa kidogo kwa mtu mwenye wadhifa kama wa chenge.
Nilikuwa naongea jana na mtu wa ofisi ya raisi utawala bora akasema Chenge amekuwa kwenye uongozi wa juu kwa miaka 30, akaniuliza unajua posho ya mwanasheria mkuu kwa siku akiwa safarini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.