Recent content by kitem

  1. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli atajwa Sweden, sielewi kisweed wanaojua tusaidie kutafsiri

    Nyota njema huonekana asubuh
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mtifuano wa Kisiasa Kenya na Uganda

    Haya mapya wakae wajadiliane kujenga maiaha bora ya wananchi wa chin afric masharik
  3. K

    JamiiForums Tanzania Muscat Oman

    Mhj hao waafrica kwa kujiaibisha hadi aibu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maskini watumishi na wafanyakazi, wanakatwa kodi na kulipwa mshahara kiduchu

    Calculate utofauti upo tena mkubwa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maskini watumishi na wafanyakazi, wanakatwa kodi na kulipwa mshahara kiduchu

    Nashangaa sana, inakuwaje flani ana cheti naww una cheti lakini mishahara tofaut,mfano mtu kaajiliwa kama mchora ramani ngazi ya cheti afu mwingine mtunza kumbukumbu mishahara tofauti ?afu ukija kutathimin mtunza kumbukumbu ana kazi nyingi tena kubwa kumzidi huyu mwingine lakini mishahara...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Maskini watumishi na wafanyakazi, wanakatwa kodi na kulipwa mshahara kiduchu

    Bora yenu nyie walimu mnapata laki 419000 tena mtu mwenye ngazi ya cheti, lakini kuna watu wameajiliwa kwa ngazi ya cheti kama nyie lakini mshahara kiduchu take home 330000,inauma sana mfano watunza kumbukumbu watu wa masjala njaa tupu, sijui haya madaraja wanayapanga vip
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Gooo mr presdnt
  8. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kutengeneza Viatu vya Ngozi na Mikanda ya ngozi Inalipa

    Naipenda sana kaz hiyo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya Mishahara na asilimia ya punguzo kwenye kodi

    Ngoja tuvute subra
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya namna bora ya kuhamia Dodoma

    Kwel rais ana zamila ya kweli
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Duuu inatisha
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

    Wanaojua tupen elim maana ndugu yangu nae anasumbuliwa, akilala akiamuka miguu inauma sana,
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni kweli mishahara itachelewa mwezi huu?

    Kuna ongezeko lolote wakuu ama ni kama zamani
  14. K

    JamiiForums Tanzania Sniper in Dallas: Polisi wetu mmejifunza?

    Kweli mkuu post yako ina akili, mijitu badala ya kutoa facts za kweli imekalia uchama uchama akili ndogo sana kudadavua mambo yanayoonekana wazi kabisa,hawa jamaa wabaguz sana huwwz kumua raia bila kosa wakati umepewa mamlaka ya kumlinda na mali zake,pia wanaua hakuna hatua stahiki...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo haya, acha niipende Kenya japo mtanzania

    Ushafanya utafiti
Back
Top Bottom