Recent content by KITANZINI

  1. K

    Nimetumbuliwa puchuu baada ya uhakiki wa mara ya pili (watumishi)

    Mweeeh! Nimecheka ujue japo hayachekeshi! Unasimulia kimzaha km vile hakuna kilichotokeaa[emoji3]
  2. K

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Yaani! Mi nimetamani wamkamate hata leo pumbafu yule anampigaje mwanamke vile halafu kamkaribisha kwake! Nimemchukia sana yaani! Na anamwita Nikiwe slut!
  3. K

    Wakishua tu: Ipi sentensi sahihi kati ya hizi mbili?

    Na maana yake ni: "Namsikitikia kwa kutokuyatumia vema/vizuri maisha yake". Huyu anayezungumziwa ni wa jinsia ya kiume.
  4. K

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]
  5. K

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Wameenda kupima hospitali
  6. K

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Wamepima tena hosp..Nikiwe hana mimba. Nimefurahi saana! Nikiwe mwenyewe asingekuwa na furaha na hyyo mtoto, though anatamani kuwa maama
  7. K

    Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

    Kipimo kinaonyesha Nikiwe hana mimba! Gabriel amefuraje!!
  8. K

    Ma bachelor huku kunuka jasho ni sifa au?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  9. K

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Hakuna shida hapo wewe..sijaona kabisaaaaa tatizo khs kuoa mtu mwenye mtoto. It makes no difference na wapya hao..
  10. K

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Halafu hao ambao mnawaita ndo wapya mnajua background zao? Washatoa mimba kama utiriri huko nyuma! Washatumika zaisi ya mara elfu tena na wanaume tofauti[emoji57]. Halafu wewe unawakashfu single mothers. Nyooo..kafie mbele huko. Mfyuuuu[emoji9][emoji9]
  11. K

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Eti asioe single mother...puuuh! Na wewe mwanaume mbona ushatumika saana. Una upya gani? Au kwa kuwa wewe mwanaume huzalishwiii?? Pyuuuuuu[emoji57]
  12. K

    Kwa hali niliyoiona sitashawishika tena kupima UKIMWI

    Hahaaaa..usiogope pima tu ili ucheze kwa step
  13. K

    Rav 4 safi kabisa inauzwa

    Nahitaji..CC ngapi hiyo?
Back
Top Bottom