Hongera sana MADOWANI maana hao wakuu wa wilaya wanajiona mungu watu. Hajui kuwa yeye siye Diwani anafuata nini kwenye vikao vyenu. Huku kwetu Dar mkuu wa wilaya ni hakimu anafunga wabunge na watendaji.
Ni kweli na leo saa mbili wamefanya hivyo mgombea wa ccm anapata muda mwingi tofauti na mgombea wa chadema anayewakilisha UKAWA. Star TV wanalo Tangazo linaloonyesha mgombea wa chadema kuwa anagawa rushwa. Kibaya zaidi wanaonyesha hata marehemu sheiikh mkuu mufti Simba.
Pengo ni mnafiki sana hana utumishi rohoni ni sawa na YUDA aliyemsaliti kiongozi wake Yesu.
Huyu kawasaliti Maaskofu wenzake na mkuu wa kanisa lake.
Tumlaani kila uchao.
Kwani Zitto ni kitu gani hii ni shida kwenu mnaotumia jukwaa hili kwa kuganga njaa. Mnalipwa kuandika mambo yasiyo na tija jikite ktk mchakato wa Katiba waeleze wadau tufanyeje wananchi kupata elimu.
Kafukuzwa Zitto mwaka jana wewe inakusumbua nini au alikuwa na kadi yako ya uanachama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.