Hivi TCRA mnawaogopa Star TV?

Hivi TCRA mnawaogopa Star TV?

Hebu taja tusi mojawapo.

kila mwana ukawa hadi mgombea wenu analia kuonewa
Ni kweli tena nimeliona tangazo wamama wanaitana kumsikiliza mama mwingine anayeongea kwenye ilo tangazo mwisho anasema rais ataenda tandale rais anapanda daladala huyo ni chizi.alafu wale wamama wanacheka.katika hili star tv mmechemka.TCRA HAWAONI NI VIPOFU.MUHUKUMU WA HAKI NI MUNGU TU.POLENI TCRA KWA UTUMWA MAANA MNAJUA TANGAZO LINATUSI NA MNAKAA KIMYA SABABU MPO KATIKA KONGWA LA UTUMWA.MTUMWA AJIAMULII BALI ANAAMULIWA LA KUFANYA.
 
sasa ultaka star tv wafanye km uyo mama n kwl alsema? ultaka wa eddit ionekane kamcfia, tumia akil kufkr co unatumia tumbo kufkr bna.

CCM ni Chama wasiosoma na wazee! Ni kwa mujibu wa TWAWEZA, Sikushangai na uliyoyaandika humu.
 
Mwaka huu mnalo tatizo la UKAWA hasa CHADEMA hawapendi ukweli mtu akiongea ukweli anaonekana hafai ndo maana sasa mmeamua kufunika AGENDA yenu ya UFUSADI na kupiga dili a.k.a wazee wa madili
 
Hebu anzeni na kina lissu, mnyika, lema, Msigwa pamoja na mbowe waliomtukana rais wenu kwakumwita fisadi papa na kila aina ya kebehi saw a eeeh
 
Sasa sisi tumalize kazi tumchague aibu itabaki kwao. Kesho mapema kwenye vituo. Mabadiliko
 
Kumbe star tv inalaumiwa kwa umahili wake.walitaka ubabaishaji kama wa UKAWA tv
 
mkuu hata mimi nimejiuliza swali kama hilo hawa jamaa sio kabisa,lakini uzuri kesho tutawaonesha jeuri ya nguvu ya umma

Shida Ukawa hawataki kusikia ukweli , tunaposema Lowassa ni mwizi hili ni tusi ?
 
CCM ni Chama wasiosoma na wazee! Ni kwa mujibu wa TWAWEZA, Sikushangai na uliyoyaandika humu.

Hivi ccm na ukawavwapi wasio soma?
Ndiyo maana kaambiwa elimu, elimu, elimu,
Kwa sababu mbowe ukimwamia alete chti cha form six ni afadhari kitafuta bikra wodi ya wazazi mhimbili.
Mnyika ukimwambia akupe transcript ni sawa na asia kuhamia mbagala
Sasa wapi wasio kuwa na elimu
 
Hvi wanaukawa c mlikuaga mnaambiana humu eti msiwe mnaangalia star tv wala TBC,sasa wewe ndugu hcho kisabengo umekitoa wapi?tuachen ccm na star tv na tbc zetu,nyie endeleen na itv,chanel 10,eatv na magazeti yenu ya kishambenga.
 
Kuna CD wamemrekodi mama mmoja akimsema LOWASSA alipoenda Tandale, anamwambia eti ni Rais au matatizo! Kwali unamwita mtu aliyewahi kua waziri mkuu matatizo tena mkanda umetengenezwa na chombo cha habari kikubwa kabisa! Startv ni hovyo kabisa!
Umenichekesha sana. Hivi sielewi Lowasa alishawahi kumbe kuwa waziri mkuu. Kwa serikali ipi? Serikali hii wanayosema haijafanya lolote kwa miaka 54. Kama alikuwemo mule ndani ya serikali na hakufanya lolote kwa nini apewe heshima ya aliyewahi kuwa waziri mkuu. Ni zerooo tu. Kama yule mwenzake mr Zero Sumaye. Kiukwelu kabisa tunapaswa kuwaita mazero wote kwa sababu wanakiri hawakufanya kitu wao kama mawaziri wakuu walivyokuwa serikalini.
Na tena tunapaswa kuwaita na sisi wote kuitwa malofa na wapumbavu kama walivyosema wanasiasa kama kweli tutakubaliana na siasa chovu hizo na za udanganyifu na utapeli kwa wananchi
 
TCRA watueleze wako chama gani maana wanawasumbua vijana wanatoa post za kumkosoa magufuri tuuuu ila mabingwa wa dhihaka kama star tv wanaangaliwa tuuuuuu
 
STARTVCCM NA TBCCM ni pacha. Imejivunjia heshima kwa watazamaji wake
 
Wakati CCM inakata mbuga kwenda ikulu, Ukawa mnapiga kelele na TCRA. Mmechelewa
 
Back
Top Bottom