Recent content by kitambiflat

  1. kitambiflat

    Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

    Hii nchi hii, tunaugonjwa wa hatari sana unasumbua bongo zetu na mwishoe unaua uwezo wa kuongea ukweli ugonjwa huo unaitwa KUJIPENDEKEZA!! tumekwisha
  2. kitambiflat

    Rais Magufuli: Watumishi sasa kupanda madaraja

    Watumishi kuweni wavimilivu nikama mmeshakata tamaa
  3. kitambiflat

    Rais Magufuli: Watumishi sasa kupanda madaraja

    Ameongea na watumishi wa afya hospitali na ndio kafungia kazi kwa leo. Ni ktk hospitali walio lazwa wagonjwa wa ajali iliyo tokea ktk msafara wake leo
  4. kitambiflat

    Rais Magufuli: Watumishi sasa kupanda madaraja

    Raisi amesema watumishi ambao walisitishiwa madaraja yao tayari ameruhusu watumishi wapande madaraja vilevile ameahidi hulipa madeni yote halali ya watumishi nchini ameyasema hayo akiwa Meatu leo. 9/9/18
  5. kitambiflat

    Dar: Makonda atangaza neema kwa watumishi

    ww unavyeti??umefanyanavyo nn
  6. kitambiflat

    Dar: Makonda atangaza neema kwa watumishi

    uongozi unao acha alama
  7. kitambiflat

    Dar: Makonda atangaza neema kwa watumishi

    RC MAKONDA ASHUSHA NEEMA KWA WATUMISHI WA UMMA DAR ES SALAAM *HOTUBA YA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM KWA WATUMISHI WAKE NA WANANCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM.* -Watumishi wa Manispaa zote, idara za *AFYA*(wauguzi, madaktari, maafisa afya), *ELIMU* (walimu Shule za Msingi, na sekondari...
  8. kitambiflat

    Mhagama: Waajiri wawe wamejiunga na Mfuko wa fidia kwa Watumishi lazima ifikapo tarehe 30.7.2017

    duuuh!! serekali inatamani hata kamshahara kangu kadogo haka!!! lkn why
  9. kitambiflat

    Tunaomsupport uhuru tukutane hapa

    nilifikiri Mbowe na Lowassa watakua wakwanza kujitokeza hapa
  10. kitambiflat

    Spika, Job Ndugai amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Maspika katika Umoja wa Mabunge Jumuiya ya Afrika

    Spika Job Ndugai amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Maspika na Viongozi wa Bunge katika nchi za Jumuiya ya Madola-Afrika
  11. kitambiflat

    Profesa Lipumba akutana na waandishi wa habari kukanusha kuhusu kuitishwa kwa baraza kuu Zanzibar

    mbona chadema kama ndomnao panic kuliko wenyewe CUF!!!
  12. kitambiflat

    Rais Magufuli atoa ahadi nyingine kwa watumishi akiwa Tabora

    mmmmh!! waelewa tumekuelewa kiongozi
Back
Top Bottom