REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,388
- 9,268
Waziri wa fedha katoa kauli hiyo leo alipokuwa anawasilisha bajeti yake leo hii, Wataalamu wa mambo tudadavulieni hili jambo hii imekaaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshahara utaongezeka kwa takrabin Tsh 25,000 kwa kila mfanyakazi.
Kama Tanzania kuna wafanyakazi milioni mbili, hii ina maana fedha zitaongezeka kwenye uchumi kwa kadri ya Tsh bilioni 50 kwa mwezi au bilioni mia sita kwa mwaka!
So itasaidia kulegeza vyuma kwa kuongeza mzunguko wa fweza.
Nilivyoelewa, ni kiwango cha msharahara kisichokatwa kodi (PAYE). Mwanzo kilikuwa shilingi 170,000/- na sasa ni 270,000/-.. nipo tayari kusahihishwaWaziri wa fedha katoa kauli hiyo leo alipokuwa anawasilisha bajeti yake leo hii, Wataalamu wa mambo tudadavulieni hili jambo hii imekaaje?
Uko sahahi shekheNilivyoelewa, ni kiwango cha msharahara kidichokatwa kodi (PAYE). Mwanza kilikuwa shilingi 170,000/- na sasa ni 270,000/-.. nipo tayari kusahihishwa
Kama ujasikiliza uwasilishaji wa bajeti subilia waje waliomsikiliza watakuwa wameelewa naulizia kipi na kama wana uelewa watakuja na majibuTatizo lako umekuja na kipande cha aliyoyazungumza.. Yafaa utulie umsikilize hadi mwisho kisha uje hapa uandike uzi wako vizuri kabisa. UNAHARAKIA WAPI?
😁😁😁😁 unataka watu wafukuze familia zao weweUko sahahi shekhe
Nilivyoelewa, ni kiwango cha msharahara kidichokatwa kodi (PAYE). Mwanza kilikuwa shilingi 170,000/- na sasa ni 270,000/-.. nipo tayari kusahihishwa
Nyie nadhani mpo sahihi maana mleta uzi kachukua setence moja haijakamilika akaitupia humu ila kwa kutumia uzoefu wenu mmeweza kutambuaMkuu tukubaliane kutokukubaliana. Sidhani kama kutakuwa na ongezeko la elfu 25 kwa kila mfanyakazi. Nakubaliana na wewe kama unaongelea wastani. Kitu cha muhimu ni kwamba tsh 270000/- hazitatozwa kodi. Mantiki hapa ni kwamba take home itaongezeka kidogo
Mkuu embu mpigie hesabu mtu anayetake home 570,000/-Nyie nadhani mpo sahihi maana mleta uzi kachukua setence moja haijakamilika akaitupia humu ila kwa kutumia uzoefu wenu mmeweza kutambua
465,300 kwa sheria hii inayotumika sasa hivi (unachukua 570,000 unatoa NSSF 10% (57,000) inabaki 513,000 ndo unaitafutia PAYE ambayo itakuwa ni 47,700 ambapo utapata NET PAY 465,300.Mkuu embu mpigie hesabu mtu anayetake home 570,000/-
Nisaidie ranges..465,300 kwa sheria hii inayotumika sasa hivi (unachukua 570,000 unatoa NSSF 10% (57,000) inabaki 513,000 ndo unaitafutia PAYE ambayo itakuwa ni 47,700 ambapo utapata NET PAY 465,300.
Na hawata katwa kodiKima cha chini cha mshahara ni 270,00/_
Ngoja tuone..465,300 kwa sheria hii inayotumika sasa hivi (unachukua 570,000 unatoa NSSF 10% (57,000) inabaki 513,000 ndo unaitafutia PAYE ambayo itakuwa ni 47,700 ambapo utapata NET PAY 465,300.