kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
mnataka kuanza majungu sasaKwani akifanya yeye kuna shida gani?
mnataka kuanza majungu sasaKwani akifanya yeye kuna shida gani?
Swadakta.Huyu RC anaweza kuwa na mawazo mazuri lakini 'as long as' anataka 'credit' peke yake bila kuhusisha Taasisi zilizo rasmi na kufuata sheria basi ataanzisha kitu lakini hakitaendelea..
Sasa utaona ni namna gani mapato ya DAR yanavyoibeba DAR na nchi kwa ujumla..
- TRA kwa DAR inakusanya mapato ya ndani (' Domestic Direct Tax') 65% ya Tanzania yote(TRA 2016/17).
- Inakusanya 'Indirect tax' 65% ya TZ yote.
- Inakusanya kodi ya Forodha na Ushuru('Customs & Excise') 90% ya Tanzania yote.
Kwa hiyo ma-RC wa Mikoa mingine wasiadhibiwe kwa hili.
RC huyu anapotaka kuonyesha huu ni ubunifu wake na anatekeleza peke yake bila kuhusisha Wizara ya Ardhi, Mabaraza ya Madiwani na Serikali za Mitaa hapa ndiyo anapokosa uhalali..
Sheria imeweka utaratibu wa kupata ardhi, kupata kibali cha ujenzi, kuanza ujenzi n.k. Taratibu hizi haziko kwa 'pleasure' za Mkuu wa Mkoa.. inabidi zifuatwe na yeyote..
Kwa awali, aanze na watu waliobomolewa kwanza kwani kwa busara za kawaida ndiyo kipaumbele cha sasa, watumishi wawe baadaye.
Pia akumbuke JWTZ hawapo chini ya RC bali Mkuu wa nchi.. Serikali kupitia mabadiliko ya sheria irudishe Maduka ya Majeshi Makambini siyo RC kuwaaminisha askari wa JWTZ na wengine kuwa ana nguvu za kuwasaidia..
Hii inaweza kutengeneza 'precedent' isiyo njema..
wapambane na hali zao yeye anapambana na jiji kubwa Tanzania, mkoa wenye starehe zote Tanzania, mkoa ambao hata mbunge wa Malinyi na Nachingwea amejenga nyumba, mkoa wa shida zote Tanzania..Dar Es Salaam...watumishi wa mikoa mingine wao hawahitaji kujenga? kiki tu hizo hamna lolote
Albadiri inajibu. Bosi wake kaja na komedi ya kupigwa risasi jenerali, yeye anakuja na komedi ya viwanja kwa watumishi. Ukikusudia kuua uajitahidi kufuta ulichofanya kiasi cha kujotoa ufahamu. Hawana lolote wauaji wakubwa hawa.dua haijaanza kufanya kazi Kwa watu wasiojulikana
Asiye na vyetiKiongozi Bora kabisa kijana, mwenye ubunifu wa hali ya juu Sana
Joka la kibisa, lililolaaniwa hadi kunyimwa kizazi.Asiye na vyeti
KabisaJoka la kibisa, lililolaaniwa hadi kunyimwa kizazi.
ww unavyeti??umefanyanavyo nnAsiye na vyeti
Ya Iqbal hayajachukuliwa kwakuwa plot ilikuwa na migogoroSorry, nje ya mada,
Hivi Yale mashamba yaliyochukuliwa na Serikali kutoka kwa Bwana Iqbal, Amadoli na Manji yameshapata matumizi yake??
Kwani mimi ni mtumishi wa umma na kwa nini mlikuwa mnafukuza walifoji vyeti? shame CCMww unavyeti??umefanyanavyo nn
Anhaa,Ya Iqbal hayajachukuliwa kwakuwa plot ilikuwa na migogoro