Mpeleke azam chamazi complex pale atafanyiwa majaribio akiweza atapelekwa azam b timu ya watoto
huku kwetu chamazi hata wasio na vipaji wanaendaga tu kufanya mazoezi na kunywa chai ya bure
Ndugu watanzania kuweni makini na CCM, imeshaanza figisu mapema yote hii.
CCM haina hata aibu imetoka msituni na sasa inapita mtaani kuomba namba yako ya simu au namba yako ya kadi ya mpiga kura.
Kuweni makini watanzania.
Pia soma
- CCM waanza kuchukua namba za NIDA za wananchi, Msajiri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.