Recent content by kitalolo

  1. kitalolo

    JamiiForums Tanzania MFANO HALISI: Road Licence inavyoikosesha serikali mapato

    Pia itasaidia kupunguza makaratasi kwenye kioo kama sticker ya fire ilivyounhanishwa kwenye road lincence,mfano mzuri ni magaya biashara na haswa P. S. V kuna sticker za kufa mtu kwenye kioo mara sumatra, road licence, insurance, sticker ya kuonyesha kwamba umelipa kodi ya mapato, na kulikuwa...
  2. kitalolo

    JamiiForums Tanzania Moses Machali aamua kurejea CCM. Adai CCM ya Magufuli si CCM ya zamani!

    machalii wa r chuga
  3. kitalolo

    JamiiForums Tanzania Nchi gani hii?

    Kenya
  4. kitalolo

    JamiiForums Tanzania Leo ni mwendo wa matusi tu!

    usimtusi mtusi matusi ya kutusi ukimtusi mtusi matusi ya kutusi mtusi atakutusi matusi ya kutusi
  5. kitalolo

    JamiiForums Tanzania Leo ni mwendo wa matusi tu!

    Haya ndiyo matusi halisi na ndio maana mtusi anaweza kukutusi matusi ya kutusi
  6. kitalolo

    JamiiForums Tanzania UKAWA baada ya kuiona hii namba, waweweseka!

    Jibu ni =1
  7. kitalolo

    JamiiForums Tanzania Jaji Augustino Ramadhani achukua Fomu kugombea Urais wa JMT

    kwanini kuwasingizia mamod??? https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/800232-kikwete-atakaye-peperusha-bendera-ya-urais-ccm-atatokea-kwa-majaji.html
  8. kitalolo

    JamiiForums Tanzania Nani anawapa hawa jamaa vifaa !?

    Hawa jamaa ndio wanasababisha hata bei za pickup ziwe juu aisee yaani watu tnatafuta pickups za kupigia za kubebea mizigo wao wanachukua za kufungia machine gun
  9. kitalolo

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Dark City amefiwa na mama yake

    aisee pole Man
  10. kitalolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kina kaka jamani mbona mnasikitisha kiasi hiki?

    C.Thady 1. Inawezekana ikawa kweli 2. Inawzekana ikawa uzushi Sababu ya kwanza kwamba ni kweli ni kwasababu siku hizi wanaumwenao washakua chakula kama vyakula vingine hivyo sio ajabu , na kwa nchi za wenzetu mwanaume anajivunia kabisa kwamba na yeye ni wali maharagwe hivyo ruksa kulia kama...
  11. kitalolo

    JamiiForums Tanzania Picha Mayweather vs manpac itakuwa hivi

    umeshachukuamikundu yako
  12. kitalolo

    JamiiForums Tanzania Picha Mayweather vs manpac itakuwa hivi

  13. kitalolo

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya miujiza (Education is power)

    https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/840813-kabla-ya-kuzaliwa-na-baada-ya-kufa-sisi-wanadamu-tunakuwa-wapi-education-is-power.html jamaa yuko nje ya mwili saahizi naona amesahau kukutag akirudi kwenye nomal astra atakuja na mada nyingine nmona nikusaidi kwa kukupa link kama hujaiona
  14. kitalolo

    JamiiForums Tanzania GE2015 Baada ya Masheikh wa Bagamoyo, Wachungaji wamzamia Edward Lowassa kumuomba kugombea Urais

    nataka kujiunga na timu lowasa nime mchakato niko hapa arusha tuijenge kambi lowasa na kuibomoa chadema hapa arusha.
  15. kitalolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Udhaifu wa baadhi ya wanaume wa kibongo upo kitandani

    hawa wadudu washenzi kwelikweli. wengi wao wanawasema waume zao au maboy friend zao sasa wakajua wote tuko hivyo ndio maana mke wa mtu akitoka nje ya ndoa anaweza asirudi maana huenda ndani wanakutatana na vitu vya ajabuajabu mtu kama kaolewa na mbeba mizigo kariakoo anarudi jini anapitia...
Back
Top Bottom