Recent content by kit

  1. K

    Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Acheni uzuzu katika kitu ambacho leo mmeharibu sku ya ngu ni lowasa kuhutubia akiwa recorded!kwa nn asiwe live?jje ni kweli ni mgonjwa?je hawezi kusimama zaid ya dakika 20? kwa nn mnashindwa kujibu propaganda za ccm kwa vitendo?
  2. K

    Ni mtumishi wa Umma, sipandishwi cheo wala sijui sababu

    ndugu uliajiriwa mwaka gani?je umeshatimiza miaka mitatu kazin?je hujawahi kupanda daraja hata mara moja?utumishi kwa sasa hawabadilishi cheo imediateky ukipata elim ya juu ispokua mshahara hubaki vilevile ila utaendelea kupandaraja kila baada ya miaka mitatu,kuongeza elim haina direct impact...
  3. K

    Diwani wa CCM Nzega atimkia CHADEMA

    huyo dogo namjua hawezi kupewa tena,alipokua ccm kaharibusana wana nchi hawampendi
  4. K

    CCM yaitisha Kamati Kuu kwa dharura

    yeriko nyerere katika kiwango chake cha uongo,hongera majibu mtayapata october ndanganyaneni sana hapo ufipa ccm kwa sasa wapo kwenye pre campani wakisharuhusiwa kuanza campani yenyewe watakua walishamaliza game
  5. K

    Morogoro: Watu watatu wafariki katika mapambano na Polisi, wawili wanasadikiwa kuwa Al Shabaab

    acha swaga za udin!hizo ni mbinu za ki usalama si lazma kuonyesha wahalifu tena kwenye public,
  6. K

    Membe: Msiponichagua mimi mchagueni Pinda

    shame on u team membe!mtu wenu hanasifa.hamien 4u
  7. K

    Zitto Kabwe: Serikali inachekesha sana!

    hongera zito@hotuba nzuri acha bavicha waendelee kukutukana wewe endelea kusambaza uzalendo
  8. K

    Kuna watu wanaharibu taswira ya CHADEMA na wanaachwa tu

    chadema walisha poteza taswira sku nyingi ndo maaana wakaamua kujificha kwenye ukawa
  9. K

    Ongezeko la mshahara kwa watumishi wa umma, walimu wameongezewa kiasi gani?

    walim mnadanganywa hakuna mshahara huo
  10. K

    Baada ya miaka 29 Mtoto wa Sokoine ataka mwili wa baba yake uchunguzwe.

    Huyu mjinga kweli!cuba alienda kusomea nini?nakwanini ashindwe kujikim kimaisha pamoja na hiyo elimu yake?
  11. K

    Watumishi wa afya rufiji tumedhulumiwa .

    Du kweli mkuu nilijaribu. kupambana lakin wenzanggu waliniangusha!Ila wanachokifanya impact yake itakua kwenye matokeo ya walicho kiffundisha nimechoka kubuluzwa!
  12. K

    Watumishi wa afya rufiji tumedhulumiwa .

    Leo nilihudhuria semina ya mafunzo ya namna ya kumsaidia mtoto kupua iliyofanyika KIBITI wilayan rufiji Cha ajabu wengine tumelipwa per DM Elufu kumi na tano tu!je Hii ni haki?Mganga mfawidhi wa wilaya tunaomba ufuatilie hili!pia waziri wa Afya tunaomba uingilie kati swala hili tumekua...
  13. K

    CHADEMA, kwa mwendo huu 2015 patupu!

    Tena selasin kafanya vizuri kaudhihirishia umma wa watanzania kuwa waislam ndani ya CHADEMA hawatakiwi tusubili 2015 na movement fof church (M4C) kura yangu mim haiwezi kwenda kwa Cdm hata siku moja
Back
Top Bottom