Joseph K. Malongo ni diwani aliyemaliza muda wake kwa tiketi ya CCM. Ametubu. Ameziacha dhambi zake. Amehamia CHADEMA.
Ni diwani wa kata ya Nata - jimbo la Nzega, amehama na kundi kubwa la wanachama akiwemo mchumi wa CCM kata na aloyekuwa m/kiti wa nata.
Tumewakaribisha, Tumewasamehe dhambi zao. Tunaendelea na ukombozi.
![]()

Siasa mi siielewi kabisa....wakiwa CCM ni Mafisadi ,wakihama ni watu safi!Wanasiasa msicheze na akili za watanzania ipo siku ukweli utakuwa wazi na nyote mtaadhibiwa.
Karibuni kwa wazalendo wa nchi UKAWAJoseph K. Malongo ni diwani aliyemaliza muda wake kwa tiketi ya CCM. Ametubu. Ameziacha dhambi zake. Amehamia CHADEMA.
Ni diwani wa kata ya Nata - jimbo la Nzega, amehama na kundi kubwa la wanachama akiwemo mchumi wa CCM kata na aloyekuwa m/kiti wa nata.
Tumewakaribisha, Tumewasamehe dhambi zao. Tunaendelea na ukombozi.
![]()
Hata mie nastaajabu haya ya Musa. hawa jamaa wa CCm wamekuwa wanapewa kila iana ya majina mabovu pamoja na ufisadi. Sasa wanatimkia Chadema wanaonekana lulu. Kulikoni, au huko Chadema hakuna sifa za kuwa kiongozi.
Namuona babu wenu katia like tu, hataki kabisa kujibu shutuma za kulazimisha agombee urais