cku hizi utakuta mke na mume wana ,majukumu sawa,wote wahangaikaji na wanahudumia familia sawa,lakini bwana anataka awekewe naji,atayarishiwe nguo,bado kufuliwa chupi,na watoto wanakutizama,unyumba hujampa bado.looo na kiuno kisipokatwa shaur ya uchovu nako mwasema analala km gogo.jamani...