Mkuu hapo hamna hata dawa ni wewe tuu ulikuwa over exited baada ya kuona mtoto mkali, kama alikuwa hataki wala asingehangaika kuhamsha dude kwa kunyonya, then inaonekana unapania sana as if unataka kumkomoa plus kutokujiamini. Cha kufanya ni hivi.. Jitahidi msipange kwa msisitizo sana kwamba...
Kama wanafanya hivyo wanakosea sana kiikolojia, kwa mtu anayejua maana ya national park... Hiyo sio national park na wanajidanganya, hakuna mtalii atakayeenda kuangalia wanyama kwenye zoo.
Ni ujinga wanafanya najiuliza kwani hawana wataalam wa ekolojia??? Wanyama wanatakiwa waishi freely to...
Cha ajabu Shetani mwenyewe hatakukubali, Shetani anapenda influential people sio kilaza kama wewe, kalime tuu ndugu yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.