Wana jamii forum naomba ushauri nina mpenzi wangu ambae hapo mwanzo alikuwa ni mzima lakini baada ya kuachana kidogo kuringana na mazingira Mara tulipo rudiana nilimwomba tupime ila alikuwa akinizungusha ila wakati napekua baadhi ya vitu vyake niliona kadi ya mahudhurio ya clinic yaan CTC card nilipo mwuliza alikubali na akanambia kuwa kwa sababu yeye ameshaanza dawa uwezekano wa maambukizi ni mdogo naombeni ushauri nahisi nimesha pata maambukizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app