Recent content by kisulisuli

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob polisi wanahusika?

    dah jamani hii damu haiwezi kuwaacha salama
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kuhusu Hayati Lowassa kuagwa kwa heshima za kijeshi

    wewe utakuwa na tumbo la kuharisha-lowassa hajawahi kuwa mwanajeshi?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bashe anatafutwa ajae kwenye mfumo, sijui kama atafika Pasaka

    duh mleta uzi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Madiwani nao wanunuliwe Toyota Land cruiser LC300

    Nakubaliana nawewe kabisa.kwanza wanaishi maisha magumu sana na wao ndio walioko na wananchi huko chini ajabu nikwamba mshahara wao haufiki hata laki nne lakini wabunge wameongezwa umefika 17m
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ngorongoro bado anashikiliwa na Polisi. Anahojiwa kuhusu Waandishi wa habari kupigwa

    Habari kutoka Ngorongoro ni kwamba Mbunge wa Jimbo hilo, Emanuel Ole Shangai amechukuliwa na wasiojulikana. Habari ni kwamba amepakiwa kwenye gari jeusi na kutokomea naye kusiko julikana. Vyanzo vya habari zinasema alikuwa akitokea mjini arusha alivyofika karibia na mji wa karatu eneo la rhotia...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unganisha idara zote za uhifadhi

    umenena
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume acheni tabia za kutupiga makofi kwenye makalio wakati wa kufanya mapenzi

    hii ni mpya kabisa.makofi kabisa au wanazibua mitaro
  8. K

    JamiiForums Tanzania Video ya Rais Magufuli akiwatakiwa wananchi heri ya Christmass

    haina uhusiano.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna taarifa za Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kufariki dunia

    Wakuu salama Kuna habari kuwa kule zanzibar kuna msiba mzito Embu walioko huko watujuze kama hizi taarifa nizakweli
  10. K

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga akamatwa na kikosi kazi kwa madeni

    Punguza kuweweseka Bavicha wametoka wapi kwenye hili jambo Hata ukiingiliwa utasema bavicha tu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga akamatwa na kikosi kazi kwa madeni

    Siyo nyingi lakin vile vile siyo kidogo mkuu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga akamatwa na kikosi kazi kwa madeni

    Na kulipwa kote milioni mia mbili na hamsini ameshindwa kulipa deni
  13. K

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga akamatwa na kikosi kazi kwa madeni

    Aliyekuwa Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga anashikiliwa na kikosi kazi cha serikali kutoka Makao Makuu Dar, kinachohusika na kukusanya madeni. Taarifa za uhakika zinasema Kalanga alikamatwa majira ya jioni nje ya ofisi za NMB na askari wa Takukuru na baadaye kupelekwa ofisi za Takukuru mkoa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunamshauri Kalanga aache mara moja kampeni chafu Jimbo la Monduli

    Tunajuwa nyinyi ni vijana wa Rc morogoro mmeamuwa kumgombanisha kalanga lakini naawambieni hamtaweza.mshaurini sanare ahangaike na kazi aliyompa rais na jana ameonywa akiendelea na huo ujinga yatamkuta yaliyomkuta Gambo
Back
Top Bottom