Rais Samia unganisha idara zote za uhifadhi

Rais Samia unganisha idara zote za uhifadhi

Tamil tigers

New Member
Joined
Jun 11, 2022
Posts
2
Reaction score
3
Napenda kushauri Mh Rais avunje idara ya Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira katika Halmashauri maana haina tija yoyote na watumishi wa idara hii wahamishiwe sehemu nyingine kama TFS, TAWA, TANAPA kila mtu kwa taaluma yake.

Kwenye Halmashauri hizi maafisa hawa wamekuwa watoza ushuru na hawafanya kazi za taaluma yao,Halmashauri hazina bajeti yoyote kwenye masuala ya Uhifadhi hivyo kupelekea nguvu kazi hii kukaa bure au kufanya kazi ambazo sio za kitaaluma.
 
Itakuwa fursa kwa Watumishi wa Halmashauri kuhamishiwa TFS sababu watafanya kazi za taaluma zao lakini na scale za TFS zipo juu kuliko Halmashauri.
 
Back
Top Bottom