Recent content by Kisuke Kaya

  1. Kisuke Kaya

    Hivi TCRA mnawaogopa Star TV?

    Jamani kama mahakama kuu imenywea hao Tcra wana ubavu wa kupingana na raisi kama yeye anatangaza ushindi tayari kwa mgombea wake kabla ya kura kupigwa na time Wapo kimya unategemea nini hapo tikazeni kamba tuwapige chino tupate ukombozi
  2. Kisuke Kaya

    UKAWA wapata mapigo mawili ndani ya masaa 24 kabla ya uchaguzi

    Nyomi la wilaya zote za pwani hivi hawajatelekezwa maana ndiyo utamaduni ulioibuka 2015 kujaza watu kwa kuwasomba na kutangaza ushindi
  3. Kisuke Kaya

    Mikutano ya Lowassa Ngorongoro, Kilindi, Handeni na Tanga Mjini - Oktoba 21, 2015

    Nimefikiria hawa ccm wanapiga ramli ya ushindi kwamtaji hewa wa wanacha ambao walishakimbia na washabiki kwa nguo na buku tano lakini kura zao ka LOWASSA habari ndiyo hiyo tuliopo mitaani
  4. Kisuke Kaya

    Wingu Jeusi la kuvunjika Amani

    Wajinga shangilieni wapumbavu tujutie mateso yajayo
  5. Kisuke Kaya

    GE2015 Paul Makonda unapata wapi ujasiri wa kukataza wananchi kusubiria matokeo ya kura?

    Jamani huyo no Tyson mdogo kama aliweza kumtwanga Mzee Waryoba nyinyi ayashindwa mini?
  6. Kisuke Kaya

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Ccm wenyewe 2010 wakumbuke mpaka mzee mwenzetu Tido ajira iliota mbawa kwa mudahalo huu wa mwaka huu umeandaliwa kimipango ukizingatia na tv zinazoendesha hazina ueledi endelea na kampeni mdahalo siyo mpiga kura sisi ndiyo tunakuelewa umuhimu na umahiri wako waache wapate pointi za kuzungumza...
  7. Kisuke Kaya

    MKAPA: "Dunia itatikisika CCM ikianguka"

    Ni sahihi kwa sababu mikataba waluyoingia ikisitishwa jamaa zao watkuwa hawana cha bure watachochukua
  8. Kisuke Kaya

    Nape, Bulembo, Mwigulu na Sadifa mnaiangusha CCM hivi hivi!

    Mimi sitachoka kusema kuhusu hawa vijana wa ccm nina mashaka na malezi yao inanaonekana katika makuzi yao inaonyesha wamelelewa kwa kulala chumba kimoja na wazazi wao huku wakiwa na ufahamu na yanayotendeka kwa wazazi wao hayo ndiyo matunda ya malezi dizaini hiyo msiwashangae fuatilieni historia...
  9. Kisuke Kaya

    Vijana wazalendoCHADEMA wamkataa Lowassa

    Kauli yako ni sahihi wao wamemkataa Lowassa kama alivyomkataa Dr Padri lakini sisi wengi tunamtaka hawamtaki wakae kimya nadhani harakati hizo wamezianza yaelekea posho waliyopewa imeisha waongezewe ili wamkatae vizuri kwa sababu inaelekea hata vichinjio hawana ambavyo vingewasaidia zaidi kumkataa
  10. Kisuke Kaya

    Vijana wazalendoCHADEMA wamkataa Lowassa

    Tokea kaanza kampeni Lowasa ameuzika kwa wananchi kutumia gharama zao kutengeneza mafuriko kuliko mafuriko ya kukusanywa na kutelekezwa mikutano kiti ambacho hats mkatibu wa chama hicho kuanza kuchoka kwa kukosa malipo ya kukusanyia wasikilizaji
  11. Kisuke Kaya

    UVCCM watoa tamko, Wamuongelea Kingunge na Uchaguzi Mkuu Zanzibar

    Ndiyo aloyaongea mzee watu kuna kundi la vijana wahuni wanotumwa na viongozi wao kutukana wazee inawezekana labda wamezaliwa nje ya ndoa kijana mwenye maadili aliyelelewa na kulala chumba tofauti na wazazi wake hawezi kufanya kama wanavyofanya hao maning'ina wa ccm
  12. Kisuke Kaya

    Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

    Ukereketwa wako na mwanaccm mwenzio wala hautikisi jamii inayohitaji mabadiliko wewe wa 387 cdm mwenzio hata ya ccm hajarejesha na wewe tujuze ulimkabidhi nani ktk ujio wako cdm?
  13. Kisuke Kaya

    Swali la Ugomvi: Kwani Lowassa Kawa Mganga wa Kienyeji?

    Cha kuongezea katika uzi huu katika maoni ya wengi humu mbona Lowasa anaongoza kwa kuwa bora kukko Magufuli?
  14. Kisuke Kaya

    Serikali kwanini isiseme ukweli kama wameuza Loliondo kwa waarabu wa Dubai?

    Sumaye alisha sema kama kinana atakuwa mwadilifu yeye atakuwa mtakatifu ndiyo maana wamekazana na richmond ya kwao yasahaulke
  15. Kisuke Kaya

    Jimbo la Mtama Nape hali mbaya

    Huo ndio urithi alioachiwa na baba yake mkuu baba yake alikuwa mpiga kinanda enzi zake akiwa kamisaa mkuu jeshini msione ajabu uongozi hapo sifuri
Back
Top Bottom