Hivi TCRA mnawaogopa Star TV?

Hivi TCRA mnawaogopa Star TV?

Star tv mmiliki wake anakesha kwa kusali ili Makomeo aingie Ikulu kuliko hata Makomeo mwenyewe anavyojisalia kwasababu uhai wa kituo chake kakikabidhi kwa sisiemu.
 
Jamani kama mahakama kuu imenywea hao Tcra wana ubavu wa kupingana na raisi kama yeye anatangaza ushindi tayari kwa mgombea wake kabla ya kura kupigwa na time Wapo kimya unategemea nini hapo tikazeni kamba tuwapige chino tupate ukombozi
 
Mi nilishasahau kama kuna tv inaitwa star , mi najua ccm wana tv yao inaitwa star tv , yan hao jamaa mwaka huu fujo ikitokea wanatakiwa kupelekwa icc
 
Mkiekewa kwa urefu kuhusu Nyerere na mabadiliko mnachukia.

Mkiwekewa lema anavyomchana lowassa mnakasirika.

Star tv wabawasilisha ukweli ambao sifa yake kuu ni kuumiza wasioutaka.

12036607_606580216146733_2632573506404975275_n.jpg
 
Lowasssa hapana hivi 152 m per day naanzaje kuisahau kwa miaka miwili tuu kakusanya bei gani za watanzania??
 
Vipi huwa unatumia zile sigara za kusokota mwenyewe ambazo ukivuta huwa mbegu za zinapasukaoasuka, maana naona umeanza kutishia nyau wakubwa

Sitishii nyau, nikwamba watakapoona pombe kaishia bar hajafika ikulu, akili itakuja kukaa sawa
 
Star tv hata mimi siwaelewi.... hilo tangazo sijui commercial nimeliona asubui leo...... ANYWAY KESHO NDIO WATAJUA WATANZANIA TUNATAKA NINI.... PU******V
 
Wanatengeneza CD za kumtukana LOWASSA wazi wazi! Mmeona ni wapi vyombo vingine vinafanya uchafu huu? TCRA ninyi ni watumishi wa umma mnawatikia kina Nani? Mnakaaje kimya huku mkijua kua STARTV nyenendo zao ni Chafu? Wanatukana wazi wazi kwanini?

Star tv wamesaidia sana kuwarudisha wagombea wasanii kwenye mstari,
vp na yule msanii wa mashairi pale uwanja wa Furahisha Mwanza?Ile mistari ilikua balaa unaweza zima tv kabisa kama unamshabikia fisadi!
 
Hahahaha mpaka sasa unaangalia star tv?

Star tv kwangu ipo kwaajili ya kuangalia dira ya dunia tu. Pumba zingine sizitaki
 
Mi mwenzenu nilitaja jina la sundi malomo, star tv kunisikia tu nililala lupango. Chezea chama chetu wewe, ukiwa ndani ya chama ni malaika ukitoka tu we ni zaidi ya shetani.
 
mm muangaliaji wa tv zote mzuri bado sijaona tusi kwa lowasa.
kinachowasumbua mmeweka choo chumbani sasa kila neno likitamkwa kuhusu lowasa lazima mtaona tusi.

mfano ukimuhifadhi mwizi kila ukikuta watu wanaongea utafikiri wanakuzungumza ww uliomficha huyo mwizi
 
Back
Top Bottom