Jimbo la Mtama Nape hali mbaya

Jimbo la Mtama Nape hali mbaya

Mkuu;

Kwa jinsi ninavyoelewa mimi, lile jimbo la Mtama mwenye mvuto mkubwa ni Mathew. Huyu alikuwa Diwani wa kata ya Vijibweni kigamboni kwa CCM, mwaka huu akaamua kwenda kugombea ubunge huko kwao Mtama. CCM wakamkata jina lake na kumpitisha Nape ambaye si mzawa wa Mtama. Hivyo wananchi walikuwa wanamtaka Mathew agombee kwa tiketi ya CCM, lakini baadaya matokeo ya kura za maoni. Wananchi wakamwambia mathew ajiunge na chama chochote nao watampigia kura huko. ndipo Mathew akajiunga na CHADEMA kisha wananchi walirudisha kadi za CCM zaidi ya wanachama 700.

Hivyo huko Mtama nape pamojana mgombea wa CUF wanajisumbua kwani mwenye mvuto kwa wananchi ni Mathew.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Mkuu mvuto wa nini tena kwani kuna mashindano ya warembo?

Jibu swali kwa nini UKAWA wameweka wagombea wawili katika jimbo moja nataka kusikia kauli kutoka kwa viongozi wa UKAWA siyo fikra zako mkuu.

Kwenye orodha ya wagombea ubunge wa UKAWA jimbo la Mtama wamepewa CUF wewe tena unaniambia kwa jinsi unavyoelewa wewe sijui wewe ni nani UKAWA.
 
Huo ndio urithi alioachiwa na baba yake mkuu baba yake alikuwa mpiga kinanda enzi zake akiwa kamisaa mkuu jeshini msione ajabu uongozi hapo sifuri
 
Habari za siku jamaa yangu Prof Ngongo.

Naomba ufafanuzi kiduchu kuhusu Jimbo la Mtama, UKAWA wamesimamisha wagombea wawili.

Mgombea CUF-katika jimbo la-Mtama, Isihaka Mchinjita.

Na Mgombea wa Chadema jimbo la Mtama, Seleman Methew.

Sasa UKAWA watampigia kura nani?

Wala wasikupe taabu hao akina Ngongo wakati jimbo lenyewe wala hawalifahamu vizuri. Jimbo la Mtama si kama jimbo la Kinondoni, Temeke au jimbo lolote la mjini! Jimbo la Mtama ni jimbo la vijijini... hizo stori za akina Ngongo zinahusu pale pale Mtama penyewe na wala sio jimbo la Mtama kwa ujumla wake. Na hata hapo Mtama penyewe wala sio kama wanavyosema wapita njia. Kwa mkoa wa Lindi endapo UKAWA wangejipanga labda wangesumbua majimbo ya Kilwa (yote mawili) na Mchinga lakini sio Mtama. Membe anatokea Rondo... na kama hufahamu kuhusu Rondo, kuna Rondo karibu 4 au tano.... na ukichanganya watu wa Rondo peke yake ni zaidi ya mara mbili ya watu wa Mtama. Kuna vijiji vingine kama Nyengedi na Mtua.... hivi navyo vimeegemea zaidi Rondo kuliko Mtama na vyote vipo jimbo la Mtama. Mathew anaweza kusumbua baadhi ya tu ya sehemu za Mtama... sana sana labda na Nyangao lakini kule milimani kwa akina Membe, no way! And if you ask me, ukiacha hizi stori zinazotokuwa derived kwa kuangalia vijana wanaokimbilia mabasi yatokayo Dar es salaam kwenda Masasi, basi kiukweli Nape atashinda si kwa chini ya 70%.

Mchinga wabunge wa CCM wametuzingua sana; kuanzia enzi za akina Mudhihiri hadi kwa Mtanda! Na kuna baadhi ya vijiji, walikuwa wanamchagua mbunge wa CCM kwa ajili ya heshima ya Membe... na sio heshima tu, Membe kasaidia hata vijiji visivyo vya jimbo lake... na hapa ndipo ulianza mgogoro kati ya Membe na Mudhihiri! Huyu Mtanda (Mbunge wa Mchinga) akina sie tunaozijua za ndani tunafahamu kwamba ni mamluki lakini kv ameletwa na wazito, imekuwa ngumu kumrudisha alikotoka! Hata hivyo, Membe mwaka huu alilazimika kusimama nae Mtanda kuhahakisha kwamba CCM Lindi wanammrudisha maana walishaona Mtanda anazingua
 
Last edited by a moderator:
malofa hawahitaji mipasho ya TOT wala boxing...
 
Na kuna laana zitaambatana naye kutokana na mdomo wake mchafu!, lazima aishie pabaya
 
Mkuu mvuto wa nini tena kwani kuna mashindano ya warembo?

Jibu swali kwa nini UKAWA wameweka wagombea wawili katika jimbo moja nataka kusikia kauli kutoka kwa viongozi wa UKAWA siyo fikra zako mkuu.

Kwenye orodha ya wagombea ubunge wa UKAWA jimbo la Mtama wamepewa CUF wewe tena unaniambia kwa jinsi unavyoelewa wewe sijui wewe ni nani UKAWA.
Wananchi wataamua
 
NasDaz,

Mkuu wangu shukrani sana kwa hii bayana yako.
 
Last edited by a moderator:
Endeleeni kuigiza akiwashinda msipige kelele, pigeni hesabu vizuri achene kuongelea hali ya mtama mkiwa Manzese Darajani.
 
wana mtama wanasema wamechoka wabunge wa kukodi toka dar kama nape nnauye.
 
Mdomo wanape sijawahi kuusikia ukitoa kauli yenye kuashiria ukomavu wa kisiasa, maneno yake yote ni vivumishi vikurupushi vya matusi, ama kweli uwezo wake wakufikiri kisiasa upo mochwari
 
Wala wasikupe taabu hao akina Ngongo wakati jimbo lenyewe wala hawalifahamu vizuri. Jimbo la Mtama si kama jimbo la Kinondoni, Temeke au jimbo lolote la mjini! Jimbo la Mtama ni jimbo la vijijini... hizo stori za akina Ngongo zinahusu pale pale Mtama penyewe na wala sio jimbo la Mtama kwa ujumla wake. Na hata hapo Mtama penyewe wala sio kama wanavyosema wapita njia. Kwa mkoa wa Lindi endapo UKAWA wangejipanga labda wangesumbua majimbo ya Kilwa (yote mawili) na Mchinga lakini sio Mtama. Membe anatokea Rondo... na kama hufahamu kuhusu Rondo, kuna Rondo karibu 4 au tano.... na ukichanganya watu wa Rondo peke yake ni zaidi ya mara mbili ya watu wa Mtama. Kuna vijiji vingine kama Nyengedi na Mtua.... hivi navyo vimeegemea zaidi Rondo kuliko Mtama na vyote vipo jimbo la Mtama. Mathew anaweza kusumbua baadhi ya tu ya sehemu za Mtama... sana sana labda na Nyangao lakini kule milimani kwa akina Membe, no way! And if you ask me, ukiacha hizi stori zinazotokuwa derived kwa kuangalia vijana wanaokimbilia mabasi yatokayo Dar es salaam kwenda Masasi, basi kiukweli Nape atashinda si kwa chini ya 70%.

Mchinga wabunge wa CCM wametuzingua sana; kuanzia enzi za akina Mudhihiri hadi kwa Mtanda! Na kuna baadhi ya vijiji, walikuwa wanamchagua mbunge wa CCM kwa ajili ya heshima ya Membe... na sio heshima tu, Membe kasaidia hata vijiji visivyo vya jimbo lake... na hapa ndipo ulianza mgogoro kati ya Membe na Mudhihiri! Huyu Mtanda (Mbunge wa Mchinga) akina sie tunaozijua za ndani tunafahamu kwamba ni mamluki lakini kv ameletwa na wazito, imekuwa ngumu kumrudisha alikotoka! Hata hivyo, Membe mwaka huu alilazimika kusimama nae Mtanda kuhahakisha kwamba CCM Lindi wanammrudisha maana walishaona Mtanda anazingua

Aisee hongera sana umefafanua vzuri sana yaani kama unaijua vile Rondo ntene, nnara, Chiponda, Mkanga na sehemu zingine kama Nyengedi, Mtua longa na kilimahewa pia Kiwalala daah...
 
Last edited by a moderator:
Aisee hongera sana umefafanua vzuri sana yaani kama unaijua vile Rondo ntene, nnara, Chiponda, Mkanga na sehemu zingine kama Nyengedi, Mtua longa na kilimahewa pia Kiwalala daah...
Bila kusahau kata za Sudi,Nachunyu,Panagatena,Navanga, Mtumbya, Namangale na zinginezo lakini watu wanavyoizungumzia Mtama utadhani ni pale barabarani peke yake!
 
Mkuu mvuto wa nini tena kwani kuna mashindano ya warembo?

Jibu swali kwa nini UKAWA wameweka wagombea wawili katika jimbo moja nataka kusikia kauli kutoka kwa viongozi wa UKAWA siyo fikra zako mkuu.

Kwenye orodha ya wagombea ubunge wa UKAWA jimbo la Mtama wamepewa CUF wewe tena unaniambia kwa jinsi unavyoelewa wewe sijui wewe ni nani UKAWA.

Fuatilia tu utanijua mimi ni nani katika UKAWA.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Wala wasikupe taabu hao akina Ngongo wakati jimbo lenyewe wala hawalifahamu vizuri. Jimbo la Mtama si kama jimbo la Kinondoni, Temeke au jimbo lolote la mjini! Jimbo la Mtama ni jimbo la vijijini... hizo stori za akina Ngongo zinahusu pale pale Mtama penyewe na wala sio jimbo la Mtama kwa ujumla wake. Na hata hapo Mtama penyewe wala sio kama wanavyosema wapita njia. Kwa mkoa wa Lindi endapo UKAWA wangejipanga labda wangesumbua majimbo ya Kilwa (yote mawili) na Mchinga lakini sio Mtama. Membe anatokea Rondo... na kama hufahamu kuhusu Rondo, kuna Rondo karibu 4 au tano.... na ukichanganya watu wa Rondo peke yake ni zaidi ya mara mbili ya watu wa Mtama. Kuna vijiji vingine kama Nyengedi na Mtua.... hivi navyo vimeegemea zaidi Rondo kuliko Mtama na vyote vipo jimbo la Mtama. Mathew anaweza kusumbua baadhi ya tu ya sehemu za Mtama... sana sana labda na Nyangao lakini kule milimani kwa akina Membe, no way! And if you ask me, ukiacha hizi stori zinazotokuwa derived kwa kuangalia vijana wanaokimbilia mabasi yatokayo Dar es salaam kwenda Masasi, basi kiukweli Nape atashinda si kwa chini ya 70%.

Mchinga wabunge wa CCM wametuzingua sana; kuanzia enzi za akina Mudhihiri hadi kwa Mtanda! Na kuna baadhi ya vijiji, walikuwa wanamchagua mbunge wa CCM kwa ajili ya heshima ya Membe... na sio heshima tu, Membe kasaidia hata vijiji visivyo vya jimbo lake... na hapa ndipo ulianza mgogoro kati ya Membe na Mudhihiri! Huyu Mtanda (Mbunge wa Mchinga) akina sie tunaozijua za ndani tunafahamu kwamba ni mamluki lakini kv ameletwa na wazito, imekuwa ngumu kumrudisha alikotoka! Hata hivyo, Membe mwaka huu alilazimika kusimama nae Mtanda kuhahakisha kwamba CCM Lindi wanammrudisha maana walishaona Mtanda anazingua

Mkuu;

ongea NAPE anatokea jimbo gani na Mathew anatokea jimbo gani ndipo tutakulelewa.

Ukiongelea watu wametoka jimbo gani hapo unakosea.

niambie hao wawili ni wa jimbo gani, huko unakojua wewe.

MIZAMBWA
INANUMA SANA!!!
 
Hatuongei mambo ya Kilwa hapa. Huko Kilwa tunachukua.

MIZAMBWA
INANUMA SANA!!!
 
Last edited by a moderator:
Haaa haaa Dr Ritz habari za siku nyingi sikuoni sana jamvini tangu Dr Magufuli akumbane na kasheshe la Mbeya.

Habari za siku jamaa yangu Prof Ngongo.

Naomba ufafanuzi kiduchu kuhusu Jimbo la Mtama, UKAWA wamesimamisha wagombea wawili.

Mgombea CUF-katika jimbo la-Mtama, Isihaka Mchinjita.

Na Mgombea wa Chadema jimbo la Mtama, Seleman Methew.

Sasa UKAWA watampigia kura nani?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu;

ongea NAPE anatokea jimbo gani na Mathew anatokea jimbo gani ndipo tutakulelewa.

Ukiongelea watu wametoka jimbo gani hapo unakosea.

niambie hao wawili ni wa jimbo gani, huko unakojua wewe.

Hatuongei mambo ya Kilwa hapa. Huko Kilwa tunachukua.

MIZAMBWA
INANUMA SANA!!!

Kuna Nape, Mchinjita na Methew ndio wagombea wa jimbo la Mtama kwa sasa, na kama Mchinjita na Methew wanatoleana lugha chafu kiasi kwamba mmoja anamuambia mwingine hana akili timamu (taahira) hapo Ukawa wanapigania kitu gani..? Wengine hawajafika Mtama na wanajua jimbo la Mtama ni hapa hapa barabarani tu. Wanasahau au hawajui kuwa Namangale, Namupa, Nyangao, Longa, Nyengedi, Nahukahuka, Nyangamara, Mandwanga, Chiuta, Kiwalala, Chiponda, Nnara, Pangatena, Nachunyu, Navanga, Mnolela, Chiponda ni kata zingine ambazo zinafanya Mtama kuwa jimbo.
 
Mkuu mvuto wa nini tena kwani kuna mashindano ya warembo?

Jibu swali kwa nini UKAWA wameweka wagombea wawili katika jimbo moja nataka kusikia kauli kutoka kwa viongozi wa UKAWA siyo fikra zako mkuu.

Kwenye orodha ya wagombea ubunge wa UKAWA jimbo la Mtama wamepewa CUF wewe tena unaniambia kwa jinsi unavyoelewa wewe sijui wewe ni nani UKAWA.
[h=2]
icon1.png
Hatimaye wagombea ubunge Upinzani Mtama wamaliza tofauti zao[/h]
Na.Ahmad Mmow, Lindi.

Wagombea wa ubunge katika jimbo la Mtama, wilaya ya Lindi vijijini, kutoka katika vyama vilivyopo kwenye Umoja wa Katiba ya Wananchi(UKAWA), Isihaka Mchinjita(CUF) na Seleman Methew(CHADEMA) wamemaliza tofauti zao zilizotokana na mgogoro wa kugombea jimbo hilo.

ukawa%2Bumat.jpg
Mgogoro ambao ulianza kuwagawa wafuasi wa wagombea hao kiasi cha pande hizo kutuhumiana kutumiwa na Chama Cha Mapinduzi(CCM).

Wakizungumza baada ya kikao kirefu cha ndani kilichofanyika katika kijiji cha Kiwalala kwenye ukumbi wa kanisa la Romani Katoliki, mbele ya wafuasi na wanachama wa vyama hivyo waliokuwa wanasubiri kusikia yaliyofikiwa kwenye kikao hicho.

Wagombea hao walisema wameamua kumaliza tofauti zao baada ya kubaini mgogoro huo utakipa nafasi Chama Chama Mapinduzi kushinda uchaguzi katika jimbo hilo.

Isihaka Mchinjita alisema mgogoro huo ungekinufaisha CCM bila wao kujua kwamba wanakinufaisha chama hicho wakati wanasubiri tamko toka kwa viongozi wa juu wa vyama vyao la kumtangaza kati yao kuwa mgombea.

Alisema kwa kuwa wao ndio waathirika wa mgogoro huo, ndipo wakaamua kutafuta muafaka ambao utasaidia kupambana kwa pamoja kuiondoa CCM katika jimbo hilo, badala ya kuendelea kuhasimiana.

"Tuliyokubaliana ni mambo mazuri ambayo yamezingatia maslahi ya vyama vyote viwili, tamko rasmi la tuliyokubaliana tutalitoa kwapamoja kwenye mkutano wa hadhara utakaofanyika tarehe 29 mwezi huu," alisema Mchinjita.

Selemani Methew, alisema "ilikulinusuru jimbo lisiangukie mikononi mwa CCM wameamua kufanya jambo ambalo litasababisha lichukuliwa na chama cha upinzani."

Hatuwezi kuendelea kugawanywa wakati lengo letu ni kudiliti CCM(kukifuta Chama Cha Mapinduzi), tulieni wananchi, tuliyokubaliana yanania mzuri mtayafurahia,"alisema Methew.

Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Lindi vijijini, Chikawe Namkaa, alisema wamefikia uamuzi huo ili kurejesha amani katika jimbo hilo kutoka kwenye uhasama uliokuwa na pande tatu. Alisema hali ya usalama katika jimbo hilo imeanza kuwa tete kwa baadhi ya wanachama na wafuasi wa chama chake kuwindwa na kupigwa.

"Mahasimu walikuwa wanatumia mgogoro baina yetu kuwapiga wafuasi wetu nyakati za usiku wakijificha nyuma ya mgogoro huu,"alisema Namkaa.

Mwenyekiti huyo alisema watashirikiana na CUF kuweka ulinzi iliwafuasi wapande zote mbili wasidhuriwe na wafuasi wa vyama ambavyo wagombea wake waubunge wanajua hawatashinda na kuamua kukodi wahuni kwenda kuwapiga na kuwatisha wanachama wa chama hicho.

"Tumeondoa tofauti zetu, natutashirikiana katika suala zima la ulinzi, lakini pia makubaliano haya yamefungua mlango wa kutokea ccm kwenye madaraka katika jimbo hili," aliongeza kusema Namkaa.

Mazungumzo ya wagombea hao yaliongozwa na maofisa wa kutoka makao makuu. Ambapo kwa upande wa CUF uliwakilishwa na katibu mkuu wake wa jumuia ya wanawake, Fatma Kalembo, na CHADEMA kiliwakilishwa na Oliver Mwinuka. ambaye ni mratibu wa mikutano na misafara ya mgombea mwenza wa urais kupitia UKAWA, Juma Duni.

source. LindiYetu
 
Back
Top Bottom